Baada ya kelele nyingi, Yanga yaamua kutoa jezi mpya

We kolo hustahili hata kuwasema mabingwa wanaokulamba kila siku🤣🤣🤣 sijui huo ujasiri unautoa wapi we Kolo
Vipi ninyi mlilambwa kwenye mashindano makubwa au umesahau
 

Attachments

  • 20241107_195941.jpg
    53 KB · Views: 27
Mbona hizi za mda mrefu sana au ni mojawapo ya wale wanakijiji wanaoishi kwenye kijiji ambacho kinajua kuwa hadi leo Rais ni Nyerere
 
Tarehe 16 ndio tutajua nani ana jezi nzuri
 
Ila thimba wanawashwa washwa kwa masuala ya Yanga.
Ila ali kamwe kazidi akihojiwa mda wote anaiwaza simba anasahau kama ana mzigo wa Caf champions league.
 
 

Attachments

  • Ubunifu unazidi kutaradadi baada ya zile kuvuja(720P_HD).mp4
    250.1 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…