Naona January anafaa sana, siasa za ndani ya CCM ndio zitamuondoa...
 
Jafo ndio...Lakini kwa kiasi fulani ana papara sana, anahitaji muda zaidi wa kujenga utulivu kwenye uongozi katika nafasi yake ya sasa.
Kha Jaffo tena??
 
Makamu anafaa awe Majaliwa, Waziri mkuu achaguliwe mwingine. Natamani kitu cha kuanzia kufanya kiwe ni katiba mpya.
 
Sema kwakuwa kazi yenyewe ya umakamu wa rais kwa hapa bongo haina issue zaidi ya kukata utepe kwenye zinduzi basi. Hata awekwe nani kwa katiba hii atakuwa hana nguvu kimamlaka.
Ni nafasi ambayo presidaa asipokuwepo mazima unashika usukani
 
Wale wanaomkubali Lukuvi sema hoyeee!!
Mwehu gulu ndiye alochochea tusipambane na corona mpaka akarudishwa kundini! tena akaagiza wafungwe wanaosema marehemu anaugua!! tena ikasemekana chinichini anampinga sn kiongozi wake?!! Mnafiki hatufai
Mmh
 
Kama vipi nampendekeza Wilbroad Slaa ndio awe Makamu wa Rais.
 
Itabidi tupekue kwenye ma file ya Mangula kwanza
Makamu wa Rais sio cheo cha mchezo mchezo kama vile yule aliekuwa mgombea mwenza wa Tundu Lissu
Leo hii hatuna presha kubwa kwa kuwa tunamuamini makamu wa Rais,
Ukituletea Makamba yatakuwa mambo ya Obasanjo na Atiku Abubakar
 
VP awe jasusi mbobezi! Mwanadiplomasia mbobezi ndugu Benard Cammilius Membe! Naamini BCM atawaunganisha watanzania kuwa kitu kimoja! Kila la kheri Benard Membe! Kazi yako ya kwanza ni kusaidia tupate chanjo ya Uviko 19
 
Huwa namfuatilia Mwinyi kule Zanzibar, anaijenga nchi ile hadi raha, ningependa kuona Mama Samia akifanya hivyo kwa Jamuhuri ya muungano, uwezo wa kufanya makubwa na kutekeleza aliyoanzisha JPM anao.
 
Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba (Mazishi) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
You know nothing about politics, kaulize what happened alivyokufa rais wa Malawi??

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 

Hapa kwenye umakamo karata lazima zichezwe kwa staili ya chess. Kumbe Uzalendo na Ufia nchi hauja kupungukia kingunge wajF bravo!
 
Hapa ndipo mnakosea. Huyu Mama akiwa Rais atahitaji ushauri na sio kuongozwa. Uamuzi wa mwisho utakuwa wa kwake na sio mwingine. Atakuwa Rais kamili na sio figure head.

Amandla...
Kumuongoza kwa maana ya guidance
 
Kudadadeeki MATAGA sasa mnakula matapishi yenu.
Lazima mtanyooshwa sana safari hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…