Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Anayefaa ni yule mwenye hofu ya Mungu na mtu asiyekuwa na timu.
January ni Mtanzania ila sio kuwa Makamu wa Rais na pia kwa busara lazima Makamu awe mtu wa mrengo tofauti wa kiimani na Rais wetu(sijazungumzia udini hapa ila kama Hawa watatu wa juu wakiwa wa Imani moja haitapendeza)
 
Kasimu majaliwa waziri mkuu wampe Nape sio mbaya ana jambo lake moyoni
 
Kabudi hapana, mi naogopa macho yake.
Shenzeeee nimecheka imebidi nikagugo niyaone hahahaha

images (1).jpeg
 
Inaweza kuwa shida kwa sababu hiyo, mbona Jk na Bilal waliweza?

Hiyo ni kabla JPM hajaongoza Taifa hili. Dynamics za Taifa hili zimebadilika mno baada ya JPM kuliongoza. Mwenye busara hawezi kulipuuza hili, hamna namna wala jinsi nyingine ukweli ndio huo ima ni mtamu au mchungu shurti umezwe tu hivyo hivyo.
 
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.

R.I.P Magufuli.
Umeshaanza uchuro wakati hata bado hatujampumzisha mpendwa wetu, sisi tuna majonzi wewe unaleta za "kugawana mali"
 
Umewaza kama mimi Chief, namuona January akienda kushine tena, japo inaweza isiwe kirahisi sana.
Hamezi kupewa Muislam umakamu labda awekwe kwenye baraza la mama samia na hiyo ni kama Diwani atamtaka lakini VP ni Chenge
 
Back
Top Bottom