Zile siku saba wamekaa na maiti wakijidai wanauguza kumbe wanaangalia namna ya :-
1.Kumtosa Makamu kwa kuangalia namna ya kumfanya na yeye aandike barua ya kujiuzulu /au lazima ili waweke Bashiru
2. Mpango wa kwanza ukishindikana , kuacha katiba ichukue nafasi Samia awe Kaimu Rais lakini akishinikizwa ateuwe Makamu waake kutoka team "genge"
Hizo siku saba hazikutosha kupata Makamu au Kaimu Rais hadi muendelee kuuliza uliza >>QUOTE]Sioni namna kama ni kweli walikuwa na mpango wa kumtosa ambavyo atawakumbatia katika baraza lake la mawaziri. Ili kuwa na nguvu na maamuzi hao wote ni kupiga chini ili aweze kutawala kwa matakwa na utashi wake na siyo kuburuzwa.
Sent from my SM-A505F using
JamiiForums mobile app