Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Rais atakeapishwa awe bold kuleta mabadiliko ya tija na kurejesha mshikamano wa taifa,sijasema atafute kupendwa au kumridhisha kila mtu maana haiwezekani bali aangalie upande wa wengi na hasa maskini ,aachane kabisa na sera za kukopa pesa na kujenga mastendi ya maonyesho ambayo mwisho wa siku yanatumika kuibia wananchi
 
Chuki zako dhidi ya Waislamu unazitoa wazi wazi .Unaonekana weye ni mdini na una chuki na hikdi juu ya Waislamu Allah akuangamize watu kama weye na mfano wake.Laana za mungu ziwe juu yako hawa watu wabaya sana.
Pole sana ndugu yangu. Huyo msamehe tu, anaweza kuwa amepitiwa kidogo
 
Safari hii hatutalewa madaraka tunaahidi..
Tumeng'atwa, kanda ya ziwa mtupishe kwanza angalau miaka 50 ijayo. Urais, umakamu, upm ucheze pwani, kusini, kati, kaskazini.
Kanda ya ziwa mtupishe kwanza. Tumalize mzunguko kanda zingine kwanza
 
Majaliwa for VP and Mbowe for PM... Tukubaliane kurudi kwenye mstari kwa miaka hii 4 kipaumbele Katiba mpya kujenga taasisi imara.
 
Bashiru, mwigulu,kabudi,ni madikteta hawa wasirudi wataturudisha misiri.Warudi chuo wakafundishe.

Please revisit your unfortunate comments - may I ask you something if you won't mind, tell me - are you a rabid hater of PhD holders or something?
 
Mi nashauri Mh. Samia amtafute makamu wake ambaye ni mchumi mmbobezi ambaye amtamsaidia kuurudisha uchumi kwenye mstari, lakini mtu mwenye ufahamu wa diplomasia vizuri itamsaidia pia kuurudisha mahusiano na nchi marafiki na mwisho mtu walau mwenye uzoefu wa shughuli za serikali.

Possible candidates include former CAG, former Katibu mkuu kiiongozi Sefue,

Proffesor Mkenda, Mizengo Pinda.

Mheshimiwa aepuke kutea makada ambao wanaweka chama mbele na sio taifa
Uchumi haujatoka kwenye mstari, labda kama unamaanisha tumbo ndio mstari! Sema atakayeubakisha kwenye mstari!
 
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.

R.I.P Magufuli.
Hapa kigezo cha dini lazima kitumike
 
Hapa
Balozi Mahiga alifariki tar 1 May 2020, kesho yake tar 2 May Rais akamteua Nchemba kuziba hiyo nafasi (kabla hata ya mazishi).

Naamini huko Magufuli aliko, angependa tumuenzi kwa kuziba nafasi hizo haraka sana tena kabla ya mazishi.
Hapa lazima serekali isonge so lazima baadh ya nafasi zizibwe mapema iwekekanavyo
 
Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
To HELL with them, wasipoangalia watamfuata mzee huko aliko

Hio list yako hapo hakuna KITU naona MAVI tu hapo.
 
Umewaza kama mimi Chief, namuona January akienda kushine tena, japo inaweza isiwe kirahisi sana.
1. Mbarawa Profesa

2. Makamba January

Kwakweli mark this comment. Sababu sioni sura yoyote inayoweza kukaa hio nafasi zaidi ya hao waheshimiwa wanaojielewa na wasomi wazuri.
 
Back
Top Bottom