Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezi kula kwao, itakula kwako wewe pamoja na watanzania wengine popote pale walipo. Naomba ukumbuke sana hili, usisahauWakikosea kubalansisha the equation imekula mazima kwao.
Pole sana ndugu yangu. Huyo msamehe tu, anaweza kuwa amepitiwa kidogoChuki zako dhidi ya Waislamu unazitoa wazi wazi .Unaonekana weye ni mdini na una chuki na hikdi juu ya Waislamu Allah akuangamize watu kama weye na mfano wake.Laana za mungu ziwe juu yako hawa watu wabaya sana.
Tumeng'atwa, kanda ya ziwa mtupishe kwanza angalau miaka 50 ijayo. Urais, umakamu, upm ucheze pwani, kusini, kati, kaskazini.Safari hii hatutalewa madaraka tunaahidi..
Maisha upepo aisee, huyu mwamba tumjengee mnara aise, japo katunyoosha lakini tutammisi Sana aise gap lake tutaliona.Tusubiri kwanza JPM apumzishwe kwenye nyumba yake ya milele.
Bashiru, mwigulu,kabudi,ni madikteta hawa wasirudi wataturudisha misiri.Warudi chuo wakafundishe.
Uchumi haujatoka kwenye mstari, labda kama unamaanisha tumbo ndio mstari! Sema atakayeubakisha kwenye mstari!Mi nashauri Mh. Samia amtafute makamu wake ambaye ni mchumi mmbobezi ambaye amtamsaidia kuurudisha uchumi kwenye mstari, lakini mtu mwenye ufahamu wa diplomasia vizuri itamsaidia pia kuurudisha mahusiano na nchi marafiki na mwisho mtu walau mwenye uzoefu wa shughuli za serikali.
Possible candidates include former CAG, former Katibu mkuu kiiongozi Sefue,
Proffesor Mkenda, Mizengo Pinda.
Mheshimiwa aepuke kutea makada ambao wanaweka chama mbele na sio taifa
Hapa kigezo cha dini lazima kitumikePoleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.
R.I.P Magufuli.
Hapa kigezo cha dini kitatumika kubalace mamboAll the best to January Makamba
Hapa lazima serekali isonge so lazima baadh ya nafasi zizibwe mapema iwekekanavyoBalozi Mahiga alifariki tar 1 May 2020, kesho yake tar 2 May Rais akamteua Nchemba kuziba hiyo nafasi (kabla hata ya mazishi).
Naamini huko Magufuli aliko, angependa tumuenzi kwa kuziba nafasi hizo haraka sana tena kabla ya mazishi.
To HELL with them, wasipoangalia watamfuata mzee huko alikoNasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
hv makamu wa rais wa jakaya kikwete alikuwa ni mkiristo?Kigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
1. Mbarawa ProfesaUmewaza kama mimi Chief, namuona January akienda kushine tena, japo inaweza isiwe kirahisi sana.