mataga ni nini mkuu, huwa naliona sanaBila shaka kwa nafasi hii watu hawalali, Lumumba na viunga vyake, baraza la Mawaziri nalo lipo tumbo joto maana lazima pangua pangua itakuwepo, kwa nafasi ya VP hapo January ndio chaguo la mama, kiufupi CCM ya asilia inarudi, MATAGA mwisho rasmi umefika.
Kwanza Rostam na J.K walishafall out muda tu, Rostam kaja kurudi hewani kipindi cha JP, he needed him to defeat Membe and kupata support ya team Edo, ndio hata kumpa Msomali uwaziri. Huo ubaya wa Rostam umerudi ghafla baada ya JP kufariki? Tuache akili za kizamani ndio zilifanya tukapata viongozi wa ajabu, tupate mtu anayeweza kututoa hapa tushakwama, tumeshajuta.
Sasa haya maneno Jangili sijui nani ina maana utawala huu ulioondoka haukuliona hilo Mkuu? Utawala huu ulioweza kila kitu? Tukue tuache hadithi hizoHiyo sio justification ya kuacha afanye ushawishi hasi ndani ya ccm! Sio siri kuwa Rostam ni jangili na yeye ndio alimuingiza mkenge Mkapa kwenye EPA : hivyo huyo ni mtu wa kuogopwa kama ukoma.
Tony yes!Nchimbi big no.Tony sawa anafaa.
ndio yule alengia nssf akajikopesha?January makamba is the best
Seems like watu ni kama hawafuatilii siasa za nchi hii! Uliyosema ni sahihi kwa 100%! Kwanza kurejea kwa RA tulianza kukuona pale alipokamatwa mdogo wake kwa tuhuma mzito za kukutwa na silaha, nyara za serikali, money laundering, uhujumu uchumi na mambo mengine kochokocho! At my surprise, couple of days later tunamuona JPM na RA wanagonga cheers, na siku zingine chache baadae, tunasikia mdogo wa RA ameachiwa! Na kuanzia hapo ushoga wa RA na JPM ukapamba moto wakati tayari RA alishapotea since 2012, na akaja kuibuka back in 2018!!Kwanza Rostam na J.K walishafall out muda tu, Rostam kaja kurudi hewani kipindi cha JP, he needed him to defeat Membe and kupata support ya team Edo, ndio hata kumpa Msomali uwaziri. Huo ubaya wa Rostam umerudi ghafla baada ya JP kufariki? Tuache akili za kizamani ndio zilifanya tukapata viongozi wa ajabu, tupate mtu anayeweza kututoa hapa tushakwama, tumeshajuta.
hamna kitu. mtu wa opportunity. alisema tuwaache wazungu tutashtakiwa MIGA kumbe anachukua hela kwa mabeberuAcha kabisa huyu mtu anakosa sapot tu lakini bonge la kiburudisho kama Cocacola
Chimbi atataka kuwa Rais kabla ya 2030.Kuna story nilishaisoma ya mtoto wa Malecela alikufa katika mazingira ya kutatanisha. Nchimbi alitaka kuwa mwenyekiti wa CCM vijana at any cost.Samia anahitaji msaidizi makini na sio mbabaishaji na mtu mnafiki kama NCHIMBI!!
ccm imuangalie kwa jicho la karibu huyo waziri wa usafirishaji Dr. Chamriho; huyu ni mtendaji mzuri asiye na makuu wala makundi! Sio mtu wa kujikweza na mtu rahimu. Ni mtendaji mithili ya marehemu Magufuli. Chumguzeni utendaji wake.
Sio lazima mimi na wewe tufanane mawazo/maonohuyu huyu nae mjua mtu jeuri na mwenye majivuno. Hujamjua vuzuri yule baba anatumia nguvu nyingi sana kupambana. Nasikitika samweli sitta angefaa au jaji augostino ramadhan.
Hatuhitaji shemasi paroko au Imamu tunahitaji mtanzania mwenye sifa.Kigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
Kwani akiapishwa Mama Samia anaanza uteuzi upya wa baraza la mawaziri?Ingawa katiba haikutaja dini, ila imetaka rais akitoka bara, basi makamu ni visiwani, na kinyume chake ni kweli. Kwa utamaduni wa CCM, hiyo ina maana pia kibarua cha waziri mkuu Majaliwa kimeshaota nyasi, kwakuwa rais atakuwa "mwislamu" basi waziri mkuu atakuwa "mkristo."
January kalifanyia nini taifa letu kama siyo usanii tu. Watanzania mbona tunakuwa wajinga hivi? Tanzania imejaa watu wengi wenye akili na vision wewe unasema huyo msanii? Huyo na Makonda au Gwajima wana tofauti gani?Naona January anafaa sana, siasa za ndani ya CCM ndio zitamuondoa...
Ha ha eti mnajipigia kanpeniKwakuwa katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania inasema kabisa kwamba makamu wa Rais kwanza ni lazima asiwe katika kiti cha ubunge. Lazima awe mtu huru toka chama cha siasa....
Mwigulu hapana, hana busaraMwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.