Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Bila shaka kwa nafasi hii watu hawalali, Lumumba na viunga vyake, baraza la Mawaziri nalo lipo tumbo joto maana lazima pangua pangua itakuwepo, kwa nafasi ya VP hapo January ndio chaguo la mama, kiufupi CCM ya asilia inarudi, MATAGA mwisho rasmi umefika.
mataga ni nini mkuu, huwa naliona sana
 
Kwanza Rostam na J.K walishafall out muda tu, Rostam kaja kurudi hewani kipindi cha JP, he needed him to defeat Membe and kupata support ya team Edo, ndio hata kumpa Msomali uwaziri. Huo ubaya wa Rostam umerudi ghafla baada ya JP kufariki? Tuache akili za kizamani ndio zilifanya tukapata viongozi wa ajabu, tupate mtu anayeweza kututoa hapa tushakwama, tumeshajuta.

Hiyo sio justification ya kuacha afanye ushawishi hasi ndani ya ccm! Sio siri kuwa Rostam ni jangili na yeye ndio alimuingiza mkenge Mkapa kwenye EPA : hivyo huyo ni mtu wa kuogopwa kama ukoma.
 
Hiyo sio justification ya kuacha afanye ushawishi hasi ndani ya ccm! Sio siri kuwa Rostam ni jangili na yeye ndio alimuingiza mkenge Mkapa kwenye EPA : hivyo huyo ni mtu wa kuogopwa kama ukoma.
Sasa haya maneno Jangili sijui nani ina maana utawala huu ulioondoka haukuliona hilo Mkuu? Utawala huu ulioweza kila kitu? Tukue tuache hadithi hizo
 
Lukuvi na majaliwa weweza fikisha jahaz pahala pazur kwa atakae pewa VP, woote wanaendana na kasi ya aliekuwa Rais wetu. [emoji38] [emoji38]
 
Samia anahitaji msaidizi makini na sio mbabaishaji na mtu mnafiki kama NCHIMBI!!
ccm imuangalie kwa jicho la karibu huyo waziri wa usafirishaji Dr. Chamriho; huyu ni mtendaji mzuri asiye na makuu wala makundi! Sio mtu wa kujikweza na mtu rahimu. Ni mtendaji mithili ya marehemu Magufuli. Chumguzeni utendaji wake.
Ni mtu safi hana makandokando kama Nchimbi kwa muda mfupi tu alipokuwa waziri wa Mkwere!
 
Kwanza Rostam na J.K walishafall out muda tu, Rostam kaja kurudi hewani kipindi cha JP, he needed him to defeat Membe and kupata support ya team Edo, ndio hata kumpa Msomali uwaziri. Huo ubaya wa Rostam umerudi ghafla baada ya JP kufariki? Tuache akili za kizamani ndio zilifanya tukapata viongozi wa ajabu, tupate mtu anayeweza kututoa hapa tushakwama, tumeshajuta.
Seems like watu ni kama hawafuatilii siasa za nchi hii! Uliyosema ni sahihi kwa 100%! Kwanza kurejea kwa RA tulianza kukuona pale alipokamatwa mdogo wake kwa tuhuma mzito za kukutwa na silaha, nyara za serikali, money laundering, uhujumu uchumi na mambo mengine kochokocho! At my surprise, couple of days later tunamuona JPM na RA wanagonga cheers, na siku zingine chache baadae, tunasikia mdogo wa RA ameachiwa! Na kuanzia hapo ushoga wa RA na JPM ukapamba moto wakati tayari RA alishapotea since 2012, na akaja kuibuka back in 2018!!
 
Samia anahitaji msaidizi makini na sio mbabaishaji na mtu mnafiki kama NCHIMBI!!
ccm imuangalie kwa jicho la karibu huyo waziri wa usafirishaji Dr. Chamriho; huyu ni mtendaji mzuri asiye na makuu wala makundi! Sio mtu wa kujikweza na mtu rahimu. Ni mtendaji mithili ya marehemu Magufuli. Chumguzeni utendaji wake.
Chimbi atataka kuwa Rais kabla ya 2030.Kuna story nilishaisoma ya mtoto wa Malecela alikufa katika mazingira ya kutatanisha. Nchimbi alitaka kuwa mwenyekiti wa CCM vijana at any cost.
 
Mwisho mtaja sema hata gwajima ana faa...

Maoni yako yana tolewa ndani ya chama yana namna ya kuwasilishwa kwake

Maoni yako kuleta hapa hovyo hovyo ni sawa na kukebei...

Kama uongozi ni ujasiriamali basi tuta wafikiria wakina rostam, dewji hata bakhresa.... Ikiwezekana tuta wapa utawala wa milele (tutaondoa ukomo wa uongozi)

Et chama changu? Chama chako? Una milki ya chama? Mkipewa madaraka mnaanza watu wangu/wananchi wangu una wamilki?
 
Dini inamwangusha Bashiru japo anafit, ikiwa hivyo kelele zitakuwa nyingi huku chini, elewa kuwa hakuna mtu anapenda kuongoza huku akipigiwa kelele, ni jpm pekee ambaye hakujali sana kelele za wananchi wake, ndio maana alikuwa akisema yeye hapangiwi.
 
Kigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
Hatuhitaji shemasi paroko au Imamu tunahitaji mtanzania mwenye sifa.

Lama Magufuli alichagua mawaziri waislamu watatu tu kwenye baraza zima la Mawaziri basi na raisi mwingine anaweza kuamua uchagua yeyote anayeona atafanya naye kazi
 
Ingawa katiba haikutaja dini, ila imetaka rais akitoka bara, basi makamu ni visiwani, na kinyume chake ni kweli. Kwa utamaduni wa CCM, hiyo ina maana pia kibarua cha waziri mkuu Majaliwa kimeshaota nyasi, kwakuwa rais atakuwa "mwislamu" basi waziri mkuu atakuwa "mkristo."
Kwani akiapishwa Mama Samia anaanza uteuzi upya wa baraza la mawaziri?
 
Naona January anafaa sana, siasa za ndani ya CCM ndio zitamuondoa...
January kalifanyia nini taifa letu kama siyo usanii tu. Watanzania mbona tunakuwa wajinga hivi? Tanzania imejaa watu wengi wenye akili na vision wewe unasema huyo msanii? Huyo na Makonda au Gwajima wana tofauti gani?
 
Kwakuwa katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania inasema kabisa kwamba makamu wa Rais kwanza ni lazima asiwe katika kiti cha ubunge. Lazima awe mtu huru toka chama cha siasa....
Ha ha eti mnajipigia kanpeni
 
Back
Top Bottom