Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lukuvi na makashfa yote hayo , halafu ngumbaru...Dr. Emmamuel Nchimbi anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Mama Samia Suluhu ambaye muda wowote kuanzia sasa ataapishwa kuwa Rais wa JMT... Nchimbi ameonekana kama mtu makini, mwenye uwezo na uzoefu katika utumishi.
Mbali na Nchimbi mwanasiasa mwingine anayetajwa ni William Lukuvi ambaye kwa sasa ni Waziri wa Ardhi.
Muda si mrefu nchi itapata Makamu wa Rais ambaye uteuzi wake utafanywa na Rais ajaye Mama Samia akishauriana na chama chake CCM. Tayari CCM kimeirisha kikao cha Kamati Kuu siku ya Jmosi
Mkuu gharama sio kitu katika kurudisha nchi kwenye mstari,gharama ngapi tumeona zikitumika hata katika vitu ambayo havina maana?Wazo lako liko sawa,ila haukuzingatia yafuatayo:
1.Gharama.
2.Nafasi ya kutekeleza.
3.Maslahi ya Chama kimoja kimoja.
NB: Kifo si nafasi ya kujinufaishia
R.I.P Magufuli,JP
NchimbiMakamu ni Majaliwa..
Nchi ilifilisiwa kwani kila kitu kilianza upya? Aliyekuja si aliendeleza walipoishia wenzake? Hapakuwa na barabara, vyuo, hospitali? Hakukuwa na biashara? Uchumi ulikuwa 0? Nchi ilifilisiwa kwa vigezo gani? Au ndo uhuru tuliopewa wa kukosoa ambao JPM hakutaka kuuendekeza?
Majaliwa aendelee tu uwaziri mkuu, VP nchimbi Hapo itakua poaMakamu ni Majaliwa..
Ili aendeleze udikteta wa bosi wake!! Tunahitaji VP mwenye busara na hekima zaidi kuliko huyo Majaliwa ambaye kimsingi ana hulka ya kusema uongo hadharani.Makamu ni Majaliwa..
Naona kampeni zimeanzaDuh eti wametajwa...na nani?
Au mnaanza wapigia debe?
Nchi ilikuwa vizuri na itaendelea kuwa vizuri. Hakuna awamu isiyo na chamgamoto.Nchi ilifilisiwa mpaka kuuza TWIGA!! Madini kama Tanzanite yalikuwa yanaporwa kama watu walikuwa hawana akili nzuri; Dhahabu zilikuwa zinachukuliwa tu; pembe za ndovu zinaporwa tu!!! Uchumi ulikuwa wa watu kuuza madawa ya kulevya. Na huko ndiko wanakotaka kuirudisha nchi kwa kumuweka NCHIMBI kama makamu wa Rais.
Nafikili unata lahana nyingine ambayo ulisha pata haijakutoshaAcha bangi inakuharibu.
Mnawaza vyeo na madaraka mwanzo wa msiba huu ni uchuro kwa watu wasio na maadili.Dr. Emmamuel Nchimbi anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Mama Samia Suluhu ambaye muda wowote kuanzia sasa ataapishwa kuwa Rais wa JMT... Nchimbi ameonekana kama mtu makini, mwenye uwezo na uzoefu katika utumishi.
Mbali na Nchimbi mwanasiasa mwingine anayetajwa ni William Lukuvi ambaye kwa sasa ni Waziri wa Ardhi.
Muda si mrefu nchi itapata Makamu wa Rais ambaye uteuzi wake utafanywa na Rais ajaye Mama Samia akishauriana na chama chake CCM. Tayari CCM kimeirisha kikao cha Kamati Kuu siku ya Jmosi
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN hichi ni kikundi cha vijana fulani walijipambanua kuwa watetezi wa Mh Magufuli kwa lolote lile, kwa staili yao ya kuatack kila aliyekwenda kinyume na Rais walijipatia fedha nyingi sana, wakawa viburi na jeuri, dharau zao hazikuwa na mipaka kwani walidharau mpaka vigogo wa chama kama mzee Kinana, Makamba na wengineo, nilisikia sehemu hata baadhi ya mambo ya utekaji na kudhuru walishiriki pia.mataga ni nini mkuu, huwa naliona sana