Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Ila katiba haimtambui VC president mwanamke?Mbona imetumia. His,he?

Waandishi wa katiba hawakuwahi kutarajia mwanamke anaweza kuwa Raisi au
Sio Katiba bali Sheria(kote Duniani) haitambui Mwanamke siku zote inatafsiri he not she!
 
Nashauri Makamu wa Rais awe Mkristo Mkatoliki na Waziri Mkuu awe Mkristo Mprotestanti au Makamu wa Rais awe Mkristo Mprotestanti na Waziri Mkuu awe Mkristo Mkatoliki...
How many times must we remind you? "SERIKALI HAINA DINI" repeat "Serikali haina DINI" - kinacho tafutwa ni uwezo wa kuchapa kazi, UBUNIFU kama wa JPM, elimu ya Chuo Kikuu ya moja kwa moja, udhubutu, kuwa na mahamuzi yenye msimamo bila ya kuyumba yumba, kuto ogopa lawama - kuendesha Taifa ki-fang fang kwa miaka mingine mitano tena emulating our hero JPM to the letter.

Tukishindwa kuzingatia mbinu za uongozi wa JPM taifa letu linaweza kujikuta linarudi nyuma kimaendeleo na mafisadi watarudi kwa nia na kasi mpya ya kuteka nyara sekta nyeti za Taifa letu kwa mara nyingine tena, rai yangu kwa kamati kuu iwe makini sana katika Teuzi zao ya makamu wa Rais, hakuna Mtanzania mwenye akili timamu angependa kurudi tena kwenye zama za awamu ya nne, kamati kuu ikifanya makosa katika teuzi zake, basi tujiweke tayari to kiss good bye JPM's efforts za kuinua Taifa letu kimaendeleo - tutarudi tena kule kule kwenye zama za everyman 4 him/herself God 4 us all.
 
Mmoja kati ya hawa atafaa sana Michael Isamuyo, Lawrence Mafuru, Leonald Chamuriho, Ngemela Lubinga, William Lukuvi, au Jumanne Sagini.
 
Nchimbi big no
Kigogo kaandika kuwa NCHIMBI amekwishaondoka Brazil kuja kuwa makamu wa Rais!! Hivi sasa yuko Dubai njiani kuja nyumbani!
Hopefully, hii taarifa ya kigogo ni uvumi kwani. Itakuwa balaa kwa nchi hii. Tafadhali epusheni nchi kuingia kwenye matatizo yasiyo kuwa na maana kwa nchi. Msirudishe utawala wa Kikwete kwa mlango wa nyuma.
 
Hamna mtu hapo!
... wachague yeyote lakini jamani chonde chonde ASIWE KALAMAGANDA KABUGI!
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
💥💥💥
 
He is corrupt!! He is Rostam’s creature!! Angalieni sana influence ya Rostam katika kushawishi ccm nani awe makamu wa Rais! Kundi la Kikwete la mtandao watakuwa mstari wa mbele kutaka kuweka kinyago chao NCHIMBI...
Nchi ilifilisiwa kwani kila kitu kilianza upya? Aliyekuja si aliendeleza walipoishia wenzake? Hapakuwa na barabara, vyuo, hospitali? Hakukuwa na biashara? Uchumi ulikuwa 0? Nchi ilifilisiwa kwa vigezo gani? Au ndo uhuru tuliopewa wa kukosoa ambao JPM hakutaka kuuendekeza?
 
Kuna muda tukubaliane kutokukubaliana. Huyu Rostam unayemsema si ndio amerudi kipindi hiki cha JPM kuwa na influence? Sasa shida nini mbona JPM ndio kamsifia zaidi kuliko hata huko kabla. Na alikaribishwa Ikulu na kushirikiana naye mambo mengi. Hebu tuache akili za kijima, angekuwa ni mbaya hivyo JPM angemu endorse? Mbona wakina Manji walikimbi, wakina Seth na Rugemarila je, na wengine.
Kuna ujinga fulani wa kijamaa baadhi ya watanzania wanao.
 
Dr. Emmamuel Nchimbi anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Mama Samia Suluhu ambaye muda wowote kuanzia sasa ataapishwa kuwa Rais wa JMT... Nchimbi ameonekana kama mtu makini, mwenye uwezo na uzoefu katika utumishi.

Mbali na Nchimbi mwanasiasa mwingine anayetajwa ni William Lukuvi ambaye kwa sasa ni Waziri wa Ardhi.

Muda si mrefu nchi itapata Makamu wa Rais ambaye uteuzi wake utafanywa na Rais ajaye Mama Samia akishauriana na chama chake CCM. Tayari CCM kimeirisha kikao cha Kamati Kuu siku ya Jmosi
 
Back
Top Bottom