Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Yeuuuuwiiiiiiiiiii! Huyo mnayemtaja atakuwa hatupi viroba coco beach bali atakuwa anavitundika nje ya nyumba za familia za marehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ujinga kuwaza mambo ya makamu rais badala ya kupambana kwanza na Corona inayowapukutisha!Nchimbi big no.Tony sawa anafaa.
Kwani JPM alikuwa nani kwenye chama kabla ya kuwa rais?Mtaka sasa umezidi kujipigia debe yaani umefikia kujipigia debe kuwa makamu wa Rais. Huu umakamu umekuwa mrahisi hivyo kwa cv yako ya Dc Hai kisha RC simiyu na hujapitia hata kwenye chama zaidi ya ujumbe wa baraza tu.
Hahahaaa!!!nyie watuKigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
Maendeleo watoto kukaa juu ya matofali shuleni? Safari za Ulaya zisizona tija kila leo kwenda kubembea?Pamoja na uporaji unaousema kila mwaka waalimu waliajiliwa, manesi na madocta, wanajeshi, polisi na wengineo, pia mishahara ilipanda ,pia maendeleo yalikuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu uyo mkuu ana tufaa sana! Una mtetea MusibaYeuuuuwiiiiiiiiiii! Huyo nchimbi atakuwa hatupi viroba coco beach bali atakuwa anavitundika nje ya nyumba za familia za marehemu.
Kweli kabisa mama atibiwe kwanzaNi ujinga kuwaza mambo ya makamu rais badala ya kupambana kwanza na Corona inayowapukutisha!
Hivi Riadha ina pesa gani mkuu? Kupiga ni tabia ya mtu. Japo siyo kwamba hapigi. Ila cheo cha Mkuu wa Mkoa ana uwezo wa kupiga dili zaidi ya Budget yote ya nchi ya Riadha. RC Makonda kupitia cheo cha RC amepiga vingii.Ingawa nae anasemwa kwa upigaji kwenye chama cha Riadha alikokuwa Mwenyekiti wa Taifa kabla ya kupoteza uchaguzi uliopita.
Yafaa nini kumchagua makamu Rais kisha anapukutika kesho yake?Kweli kabisa mama atibiwe kwanza
Una uhakika gani hawajatupiga mara 5 zaidi? Bei hatujui. Kila kitu wameficha. Unajua walitupiga Trillion 1.5 ndani ya miaka 4 tu? Uwanja wa CHATO ni upigaji LIVE. Nini kili mtoa CAG: Asad?Ingekuwa enzi ya Kikwete mngepigwa mara nne ya hiyo!!! Mikataba ya Gesi na wachina umeiona? Mikataba ya kujenga bandari Bagamoyo umeisoma? Kikwete alikuwa anatia saini huku amefumba macho wenzie wanachukua nchi!!!
Wapi tibaijukaWewe sio mtoa roho za watu! Kwani ni lazima Makamu wa Raisi awe mwanaume! Mhe. Samia ana uwezo wa kumpendekeza Makamu wa Raisi mwanamke na kwangu huu utakuwa uamuzi sahihi sana. Nchi hii ina wanawake shupavu na wenye mawazo ya kitaifa zaidi kuliko vyama vyetu. Tuna akina:
1. Asha-Rose Migiro
2. Anna Makinda
3. Prof. Bernadeta Killian
4. Anna Mghwira
Hawa ni baadhi ya wanawake wazalendo wanaoweza kutumikia nafasi ya Makamu wa Raisi wa JMT.
Una uhakika gani hawajatupiga mara 5 zaidi? Bei hatujui. Kila kitu wameficha. Unajua walitupiga Trillion 1.5 ndani ya miaka 4 tu? Uwanja wa CHATO ni upigaji LIVE. Nini kili mtoa CAG: Asad?
Lakini bado utawala ule unaonekana bora kuliko huuMaendeleo watoto kukaa juu ya matofali shuleni? Safari za Ulaya zisizona tija kila leo kwenda kubembea?
ExplainNchimbi big no.Tony sawa anafaa.
Du aisee wewe fix kweli kweli. Ulikuwa unatudanganye kuhusu Magufuli?Nchimbi big no.Tony sawa anafaa.
Basi anaweza kufaa Ila inabidi achukue ubongo wake aliotupia kwenye kopo.Huenda timu JK kidogo..ni Mjita wa MUSOMA
Ni kweli. Unajua kifo cha Magufuli kinaweza kikaleta balaa kubwa sana.He is corrupt!! He is Rostam’s creature!! Angalieni sana influence ya Rostam katika kushawishi ccm nani awe makamu wa Rais! Kundi la Kikwete la mtandao watakuwa mstari wa mbele kutaka kuweka kinyago chao NCHIMBI!!
Hawa wanamtandao ni waporaji wa rasilimali za nchi: msisahau jinsi walivyo ifilisi nchi enzi za Kikwete na sasa watajipanga kurudi!!
Kila utawala una mazuri na mabaya yake; kwa mfano enzi ya mkwere RUSHWA ilikithiri kila kona ambapo enzi ya JIwe alijitahidi sana kupiga vita rusha na ufisadi!!!