Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Hawa jamaa huwa wana namna ya Ku balance dini ingawa si kigezo rasmi,manake hawana dini.Ila January Muisalmu pamoja na mama sidhani kama wakatoliki watakubali!
Sasa Wakatoliki wameingiaje tena katika ajenda hii
 
Hao watu wa ujenzi ndio wezi toka 1995 hadi leo. Ni team JPM

Huoni kazi ziliofanyika wizara ya usafirishaji alikokuwa katibu mkuu kabla ya kuwa waziri? ATCL imefufuliwa , Reli inajengwa , bandali zinaboreshwa kote nchini na ufanisi umeongezeka!

Wala hutamuona kujionesha kwenye matv yenu!!! Huyu ni mtendaji mzuri kama nchi inahitaji muangalizi wa karibu kumsaidia Samia kumalizia hii miradi mikubwa. Msifanye makosa mkawasikilza wakina Rostam na kuweka vikaragosi vyao hiyo mradi haitakwisha.
 
Mtaka wengi wamemkubali..ana nini huyu Mheshimiwa?
Ni kijana. Musomi. Hana uchama (CCM au Uchadema). Ni mchapa kazi. Popote ana deliver. Eme deliver ELIMU Simiyu. Maendeleo popote alipo. Hana issue za show off-Ma camera/TV. Hapana. Ana utu. Hawezi dhalarisha mtu jukwaani. Ni mcha Mungu. Ni mtoto wa Mkulima.

Hayati Dr. John Pombe Magufuli aliwahi sema Mkuu wa Mkoa no1 na no2 Tz ni ANTHONY MTAKA.

Namkubali sna kijana.
 
Elewa kuwa akiondoka waziri mkuu anaondoka na mawaziri wote
 
Nchimbi amesha anza safari kutoka Brazil kuja kukaimu kiti ni suala la muda tu, hii kazi imefanywa na wakongwe kina Kinana na Makamba. save my comment
 
Huoni kazi ziliofanyika wizara ya usafirishaji alikokuwa katibu mkuu kabla ya kuwa waziri? ATCL imefufuliwa , Reli inajengwa , bandali zinaboreshwa kote nchini na ufanisi umeongezeka!!! Wala hutamuona kujionesha kwenye matv yenu!!! Huyu ni mtendaji mzuri kama nchi inahitaji muangalizi wa karibu kumsaidia Samia kumalizia hii miradi mikubwa. Msifanye makosa mkawasikilza wakina Rostam na kuweka vikaragosi vyao hiyo mradi haitakwisha.
Hao ni wezi tu. Miradi mikubwa wana tupiga sna. Madaraja, Barabara (Nyanza Road Co.), ATCL ww unajua bei za ndege?
 
Mbona uko nyuma sana kimawazo mkuu kwan wanatumia msahaf na bible pale au roho mbaya tuu pale sio uislam pale katiba mkuu ayo mawazo dun
Wewe andika uwezavyo, kashifu uwezavyo...haiwezekani na haijawahi kutokea katika nchi hii top 5 highest position kwa nchi ambayo sio secular state kushikiliwa na watu wa Imani moja

Labda kama sio mfuatiliaji wa chaguzi na teuzi mbalimbali

Haijawahi kutokea, lazima ajiongeze
 
Ni kijana. Musomi. Hana uchama (CCM au Uchadema). Ni mchapa kazi. Popote ana deliver. Eme deliver ELIMU Simiyu. Maendeleo popote alipo. Hana issue za show off-Ma camera/TV. Hapana. Ana utu. Hawezi dhalarisha mtu jukwaani. Ni mcha Mungu. Ni mtoto wa Mkulima.

Hayati Dr. John Pombe Magufuli aliwahi sema Mkuu wa Mkoa no1 na no2 Tz ni ANTHONY MTAKA.

Namkubali sna kijana.
Ingawa nae anasemwa kwa upigaji kwenye chama cha Riadha alikokuwa Mwenyekiti wa Taifa kabla ya kupoteza uchaguzi uliopita.
 
Amweke jaji Warioba mwanasheria mkongwe, mzoefu wa nchi hii vizuri
 
He is corrupt!! He is Rostam’s creature!! Angalieni sana influence ya Rostam katika kushawishi ccm nani awe makamu wa Rais! Kundi la Kikwete la mtandao watakuwa mstari wa mbele kutaka kuweka kinyago chao NCHIMBI!!

Hawa wanamtandao ni waporaji wa rasilimali za nchi: msisahau jinsi walivyo ifilisi nchi enzi za Kikwete na sasa watajipanga kurudi!!
Pamoja na uporaji unaousema kila mwaka waalimu waliajiliwa, manesi na madocta, wanajeshi, polisi na wengineo, pia mishahara ilipanda ,pia maendeleo yalikuwepo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni wezi tu. Miradi mikubwa wana tupiga sna. Madaraja, Barabara (Nyanza Road Co.), ATCL ww unajua bei za ndege?

Ingekuwa enzi ya Kikwete mngepigwa mara nne ya hiyo!!! Mikataba ya Gesi na wachina umeiona? Mikataba ya kujenga bandari Bagamoyo umeisoma? Kikwete alikuwa anatia saini huku amefumba macho wenzie wanachukua nchi!!!
 
Back
Top Bottom