0.009%

Ni utabili wa kujitoa mhanga na mtabiri akiwa anafahamu kuwa Hilo haliwezekani!!
 
Hivi mnaijua CCM nyie au mnaisikia? CCM ni ile ile yani..

Kuondoka kwa Jiwe sio justification ya mambo mapya kivile au maajabu! Lower your expectations...

Kwanza kwa katiba ipi hiyo?
 
Hayo mambo yanawezekana Zanzibar tu kwa wastaarabu.

Kwa mbaali naona Dalili za Mwinyi kufuata nyayo za Baba yake, kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania.
 
Mungu Amrehemu kipenzi cha watanzania na jemedari wa kweli, JPM. Kiongozi uliyepambana kuiwrka Tz kwenye ramani kwa gharama kubwa....
Mimi nimesoma HKL lakini nimekuelewa.

Makamu wa Rais atatoka CCM, kutoka miongoni mwa viongozi wazoefu ambao siyo wabunge
 
Ni kitu ambacho sikitarajii..maana Makamu Rais anaweza kuwa Raisa katika mazingira Kama haya yaliyotokea..so CCM watakubali hilo..endapo baadaye Samia naye akiaga..!?
Umeona mbali sana
 
Kwahiyo hakuna Mkristo mchapakazi mwenye sifa za kuwa Makamu wa Rais?

Jibu kinagaubaga
 
Kuna kila dalili awamu hii pia makamu wa Rais akawa mwanamama (bahati iliyoje?). Kuanzia asubuhi nilipofungulia vyombo kadhaa vya habari kufuatilia yanayoendelea nimesikia wanazuoni, wachambuzi nk wakilitajana jina la Dk Asha Rose Migiro kama VP ajaye.

Itakuwa ni nafasi kubwa sana katika kuelekea usawa wa kijinsia na kuwapa wanawake mamlaka makubwa wanawake nchini.

Kila la kheri mama zetu
 
Mwana Mtandao!
 
Rais atateua Makamu kutoka Chama anachotoka Rais kwa kushauriana na Chama Chake
 
Nchi ni ngumu hii. CCM wakiona akina mama ni wengi ndio njia ya kupiga dili
 
haiwezekan hata kama samia atamchagua bungen hatumpitishi lazima kuwe na usawa
 
Willium Lukuvi anafaa na nahisi atateuliwa kuwa Makamu wa Rais kwakuwa ana uzoefu sana wa uongozi na ni mchapakazi sio mvivu.

LUKUVI UP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…