Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kweli aseeNgoja Mataga waje wakiwa wamenuna baada ya kuliona tu hilo jina la Lissu!! Wenyewe mpaka muda huu wanaamini ni Lissu ndiye aliyemtoa uhai mtukufu wao!!
Elitwege njoo huku utie neno! Maana muda si mrefu utakua unajipanga barabarani kumpa mkono Makamu wako Wa Rais Mh. Tundu Lissu!! 😇