Sasa we sindio umevujisha!! maboya wengine!

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 

Sawa Kigogo 2014
 
unaota ebu rudi ukalale!
 
Kwani Sufuria linapo vuja inamaanisha ni mwisho wa kulitumia....!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo nafasi haifai apewe mtu mwenye majigambo na majivuno, inataka mtu mwenye busara ya hali ya juu, ukiona mtu anafananisha thamani ya gari V8 analotembelea na mtu huyo amefilisika akili
 
Humphrey ni wa kanda ya Ziwa vile. Hakuna ubaya maana factors zote muhimu za kuwa makamu wa rais anza. Ni Mkristu, anaweza kufanya kazi kwa karibu na Madame President na pia anafahamu umuhimu wa Muungano na anaweza kuupigania.
Kwaiyo kigezo ni ukanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…