Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Ukishatulia ama ukituliza munkari utaelewa...Kwani hiyo migodi ya serikali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishatulia ama ukituliza munkari utaelewa...Kwani hiyo migodi ya serikali?
Ukishatulia ama ukituliza munkari utaelewa...
Aisee! hadi wewe unampigia chapuo?Humphrey ni wa kanda ya Ziwa vile. Hakuna ubaya maana factors zote muhimu za kuwa makamu wa rais anza. Ni Mkristu, anaweza kufanya kazi kwa karibu na Madame President na pia anafahamu umuhimu wa Muungano na anaweza kuupigania.
Amekuamshaje wewe binafsi tuanzie hapo sasa
Wewe ni kajinga fulani huna unachojua,kwa taarifa yako wenye nchi wanaisafisha sasa baada ya kosa la kiufundi 2015
Na alikua right hand man wa Jiwe kipindi cha kampeni za kupita bila kupingwa.Aisee! hadi wewe unampigia chapuo?
Basi itakua kweli chakubanga alivuta mchele wa kushato wakati ule wa utiaji nia
Niliskia hio, Kama dalali yan 😂Na alikua right hand man wa Jiwe kipindi cha kampeni za kupita bila kupingwa.
Hapana awe Mkristo ili kubalanceBila shaka kwa nafasi hii watu hawalali, Lumumba na viunga vyake, baraza la Mawaziri nalo lipo tumbo joto maana lazima pangua pangua itakuwepo, kwa nafasi ya VP hapo January ndio chaguo la mama, kiufupi CCM ya asilia inarudi, MATAGA mwisho rasmi umefika.
Kwahiyo hakuna Mkristo mchapakazi mwenye sifa za kuwa Makamu wa Rais?
Jibu kinagaubaga
Wao wana zungumzia maslahi yao na sio wananchiAkili za chadema wanazijua wao hawaeleweki. Mara wanataka katiba ifuatwe, ila wao wakitaka yao hawataki kufuata katiba.
Hapana awe Mkristo ili kubalance
Yote 9 10 tuzingatie suala la dini. Ili kuleta balance na kuondoa maneno. Rais Muslim basi makamo awe Mkristo.
Rais samia suluhu-Muslim
Makamo.........
Waziri mkuu kassim majaliwa-muslim
Jajimkuu Ibrahim hamisi-muslim
HAIWEZEKANI kwa kuwa Prof Kabudi ni muwakilishi wa watu wa Jimbo la Kukosa. Ukiwa Makamu huruhusiwi kuingia Bungeni, ni Muhimili tofautiPoleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina...
Kwani wakati ule wa teuzi za mawaziri,maRC MaDc etc ulipokuwa unapendelea upande mmoja si mlisema tuangalie uchapa kazi na sio DINI? Sasa leo nini tena,atakaeteuliwa yoyote atafaa cha msingi anauwezo wa kufanya kazi ipasavyoYote 9 10 tuzingatie suala la dini. Ili kuleta balance na kuondoa maneno. Rais Muslim basi makamo awe Mkristo.
Rais samia suluhu-Muslim
Makamo.........
Waziri mkuu kassim majaliwa-muslim
Jajimkuu Ibrahim hamisi-muslim
1: paramagamba kabudi or bashiruPoleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
R.I.P Magufuli.
Dar, hivi shetani ni yupi Kati ya aliyeamrisha mwenzie apigwe risasi afe na alipoona kapona anaitaji matibabu akamnyima.Lisu ni wakala wa Lucifer. Mtu anayeshangilia kifo na magonjwa/ maumivu ya wenzake, hafai kuwa Kiongozi. He is an absolute Sadist, gasho na wakala wa Mabeberu.
Jambo moja alijue, Mungu hadhihakiwi.
Atajiuzulu ubungeHAIWEZEKANI kwa kuwa Prof Kabudi ni muwakilishi wa watu wa Jimbo la Kukosa. Ukiwa Makamu huruhusiwi kuingia Bungeni, ni Muhimili tofauti
Jamani msitulundike kikabila mtego wa panya unainasa mpaka paka.
Huu ukabila si haki.
Kuna Wasukuma wengi hatupendi ukabila.