Huyo ni zaidi ya Makonda, stop that pleaseAcha kabisa huyu mtu anakosa sapot tu lakini bonge la kiburudisho kama Cocacola
Lukuvi Isimani inamtoshaDr.kimei
Prof Adolf
Lukuvi
Bashiru au PolepolePoleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina...
Mijicho
Kwahiyo kazi kubwa unaona ni kupambana na wapinzani? F*cked up African mindsets... Huyo mtukanaji matusi ya nguoni, kutishia kuua na kuvunja miguu cdm ndio unaona nin"usharp" huo ?!? kweli una shida si ndogo we mtuHello Wakuu anayefaa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ni Mwana harakati Mr Cyprian Musiba ni mtu Sharp na anaye weza kupambana na Wapinzani na kuongoza nchi vizuri. Viongozi waliobakia wote wapo Very Slow na hawata weza kwenda na Speed alizokuwa akizifanya Marehemu kipenzi wetu Mpendwa Rais Doctor Magufuli.
View attachment 1730755
Hujuwi kuwa anayefaa kuwa Kiongozi ni yule asiye ogopa kitu? na ni Mpambanaji dhidi wasiotaka Maendeleo ya nchi yetu.Mr Musiba anafaa kwa kila kitu Kuongozakuzungumza na kufanya kazi kwa vitendo.Kwahiyo kazi kubwa unaona ni kupambana na wapinzani? F*cked up African mindsets... Huyo mtukanaji matusi ya nguoni, kutishia kuua na kuvunja miguu cdm ndio unaona nin"usharp" huo ?!? kweli una shida si ndogo we mtu
Ubaya wa Bashiru ni upi?!! Unaweza kutaja baya lake hata moja?!! Hivi unaelewa kuwa Bashiru ndio alirudisha mali zote za chama zilizokuwa zimeporwa na mafisadi jk na genge lake?!!, Unajua Bashiru ndio ameweka utaratibu mzuri wa chama cha mapinduzi mpaka leo kinakusanya mapato ya kutosha ya chama!! Ni vyema tujishughulishe kutafuta habari kuliko kubeba maneno ya wajinga na kuleta hapa kwa magreat thinker's,Utashangaa linaletwa jitu kama Bashiru au Gwajiboy au Mimacho!
Mi nadhani angeteua mwanamke kabisa ili pale juu pawe level!
Ndugai ni shemeji yako nini?Mbana kigugumizi? Ndungai hapana hatatufaa
Mbana kigugumizi? Ndungai hapana hatatufaa
Mbana kigugumizi? Ndungai hapana hatatufaa