Ukweli huwa haubadiriki!Badili fikra zako hayo mawazo zama zake zilishapita
Kifupi tu, hicho chuma kinaitwa Assad nakielewa sana mkuuNatamani kama watu wangejua huyu Ironlady na Mwamba walikua wakikaa wanaongea nini☺☺🙏
Uyo Dr Mpango kwani ameshapona kukooa koa? Mbona hajaonekana msibani?Salaam Wananzengo
Kutokana na Nchi Yetu kuwa na Msiba ambao kimsingi umeleta hali ya tafakuri kubwa hasa ni nani atatosha kusaidiana na Mama Samia katika Kutuongoza.
Mimi Nashauri Wafuatao Wapewe nafasi.
1. Prof. Mussa Assad.
Kwanza ni Msomi Mzuri na pia amebobea sana kwenye eneo la uchumi..Lakini Pia Prof huyu Ana misimamo mikali sana hivyo ataweza kutusaidia sana.
2. Dr Mpango.
Kwa hawa watu wanaojulikana Mpango anaweza kuwa wa msaada sana. Kwanza ni Mzalendo amefanya kazi World bank na hivyo anajua uchumi wa Dunia na hapa kwetu na pia kwa kukaa kwake Wizara ya Fedha kumempa wigo mpana wa kuhusika na miradi Mikubwa hii pamoja na Makusanyo ya Serikali.
Dr Mpango pia hana kashfa wala sio muoga Kuchukua maamuzi.
Wengine wanaoweza hii nafasi katika wale tulionao wote wana makundi hasimu hivyo uteuzi wao unaweza kuleta mgawanyiko zaidi au kujenga Makundi hasimu zaidi.
Alamski.
Mbona nasikia Prof Assad ni mdigo wa Tanga!!Assad ni Mzenj, hawezi kuwa VP. Ila anastahili kuwa waziri au KM wa $$, ikishindikana kabisa awe CG wa TRA.
Mpango is tainted - has got too much MATAGA on him atamharibia rais mpya.
Wewe unaijua kesho yako mkuu?Kwakweli Membe angekuwa ametulia ndani ya CCM basi hii nafasi ya VP ingekuwa ni yake......tatizo haijui kesho yake
gogoki kasemaje kwanza?Heshima sana wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.
Ni hayo tu kwa leo
Kabla hujatumia energy yako Assad hawezi kuwa VP kwa sababu ni kinyume na Katiba. Katiba inaeleza wazi mtu aliyewahi kuwa CAG hatashika madaraka yoyote katika ofisi ya Umma. Hiyo ni moja pili , maana nimeona sehemu CHADEMA wanampigia upatu , uongozi kama huo hautolewi kishabiki wala kwa kumuonea haruma mtu . Kwa vile aliondoka kwenye U- CAG unceremoniously basi ngoja apewe U- VP , kwa vile alipishana na Ndugai labda na wewe Ndugai humpendi na ili kumkomoa Ndugai basi apewe U-VP . Hvyo mtu kama huyo hafai kabisa kupewa uongozi . Huyo atakacho fanya zaidi ni kuleta visasi na Mambo yanayofanana na hayo. Hebu, mleta mada tupe achievement tano tu za Assad zenye ushahidi tangible . Usilte kabisa zile sarakasi zake na Ndugai maana tunazijuaSalaam Wananzengo
Kutokana na Nchi Yetu kuwa na Msiba ambao kimsingi umeleta hali ya tafakuri kubwa hasa ni nani atatosha kusaidiana na Mama Samia katika Kutuongoza.
Mimi Nashauri Wafuatao Wapewe nafasi.
1. Prof. Mussa Assad.
Kwanza ni Msomi Mzuri na pia amebobea sana kwenye eneo la uchumi..Lakini Pia Prof huyu Ana misimamo mikali sana hivyo ataweza kutusaidia sana.
2. Dr Mpango.
Kwa hawa watu wanaojulikana Mpango anaweza kuwa wa msaada sana. Kwanza ni Mzalendo amefanya kazi World bank na hivyo anajua uchumi wa Dunia na hapa kwetu na pia kwa kukaa kwake Wizara ya Fedha kumempa wigo mpana wa kuhusika na miradi Mikubwa hii pamoja na Makusanyo ya Serikali.
Dr Mpango pia hana kashfa wala sio muoga Kuchukua maamuzi.
Wengine wanaoweza hii nafasi katika wale tulionao wote wana makundi hasimu hivyo uteuzi wao unaweza kuleta mgawanyiko zaidi au kujenga Makundi hasimu zaidi.
Alamski.
Kweli kabisa.CCM imeishiwa sana viongozi, ndio maana Magufuli alikuwa anateua wapinzani.
Tanzania kubwa,inamaana sisi Kanda ya ziwa ndo Basi sasa.
Hafai hata kuwa mkuu wa wilaya. Ni fisadi wa elimu hata mali.Heshima sana wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.
Ni hayo tu kwa leo