Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Noma sanagogoki kasemaje kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sanagogoki kasemaje kwanza?
Na Nani aliyemwambia? Kwani walijua hili la kifo litatokea?Nchimbi aliambiwa atulie.
Na ndo maana Rostam amewezeshwa kufungua kiwanda cha ngozi Morogoro kwa kuleta wawekezaji.Angalia hii move kwa makini ndio utajua kwanini Magufuli aliwarudisha Lowassa na Rostam walioondoka CCM wakati wa utawala wa JK.
Hii issue kama ikitokea inaweza kuwa planned long time ago, siasa ni kama mathematics.
Ndiye.Ndio yule yupo kule Brazil au ?
Mzee wa Msoga aliingia na hule mikoba wake ambao Laigwanani Mkuu hawezi kusahau kamwe.Alipoulizwa maoni yake akachomoa jina kwenye mikoba.
And yet, there were no servicemen/boys in the hall!
Uwe mwelewa.Na Nani aliyemwambia? Kwani walijua hili la kifo litatokea?
Timu ya Bashe ndo ina maagizo maalum na nini cha kufanya.
Inaonekana hayo maagizo walipewa hali ilipozidi kuwa mbaya.
Pia baraza la USALAMA na Kitengo wapo kwa uangalizi zaidi.
Nilisema humu kwamba Mzee Malecela alitoa onyo mapema jana asubuhi.
Jana bashe alionekana amevaa barakoa kuhakikisha anajikinga ipasavyo.Truth differs Reality!
Tunawaangalia......
ALIYEKUWA Mtabiri maarufu Afrika Mashariki, Shehe Yahya Hussein aliitisha mkutano wa wahariri na waandishi wa habari mwaka 2006 na kuzungumzia utawala wa Rais Jakaya Kikwete ukiwa na umri wa mwaka mmoja tu.Na Nani aliyemwambia? Kwani walijua hili la kifo litatokea?
Huyo Mama naskia anatishwa atapigiwa kura ya kutokuwa na imani nae wabunge wengi waliwekwa na Magufuli, she is scared.Na ndo maana Rostam amewezeshwa kufungua kiwanda cha ngozi Morogoro kwa kuleta wawekezaji.
He is the kingmaker.
Ila bado matokeo halisi yaweza kuwa tunapotezwa lengo.
Lakini Mafisadi hawana nafasi katika CCM mpya.
Nani kakwambia we subiri utashangaa.
Hakuna mbunge wa kumtisha mama wa taifa.Kwanza wabunge gani wana jeuri hiyo hawa waliopata kura nyingi kuliko idadi ya wapiga kura !.Huyo Mama naskia anatishwa atapigiwa kura ya kutokuwa na imani nae wabunge wengi waliwekwa na Magufuli, she is scared.
Let's wait & see.
Hiyo itaturudishia lile jinamizi la Lowassa wa 2015.Heshima sana wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.
Ni hayo tu kwa leo
Jana bashe alionekana amevaa barakoa kuhakikisha anajikinga ipasavyo.
He is a very smart young man upstairs na mzee alimpenda kwa hilo.
ALIYEKUWA Mtabiri maarufu Afrika Mashariki, Shehe Yahya Hussein aliitisha mkutano wa wahariri na waandishi wa habari mwaka 2006 na kuzungumzia utawala wa Rais Jakaya Kikwete ukiwa na umri wa mwaka mmoja tu.
Baada ya kuzungumza hayo nilipata nafasi ya kumuuliza. Je Tanzania baada ya Kikwete inaweza kupata rais mwanamke?
Shehe Yahya alinijibu:
“Baada ya vipindi viwili vya Rais Kikwete atakuja rais ambaye ni mweusi mchapa kazi lakini mchekeshaji sana, hata hivyo atatawaka kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata rais mwanamke.”
Wahariri na waandishi waliguna kuonesha kutokubaliana naye wakiwemo wahariri wakongwe Hemedi Kimwaga, Yasini Sadiki, Magnus Mahenge na wengine ambao siwezi kuwakumbuka.
Shehe Yahya baada ya kuona tunambishia alichukua ubao kama ule wa darasani na mkononi alishika kutabu kilichoandikwa Astrology: Monthly numerology, akaanza kufanya hesabu kwa fomula anazojua yeye na akatuambia kwamba kwa Jakaya inaonesha atamaliza muda wake wa miaka kumi na lakini ajaye ataongoza kwa kipindi kifupi.
Tulimuuliza ataongoza kwa muda mfupi kwa sababu gani, alisema hayo mengine yeye hawezi kujua lakini akasisitiza kwamba hivyo ndivyo itakavyokuwa. Tulitawanyika pale kila mmoja akiwa anaona kama amepigwa ‘changa la macho’.
Lakini sasa nimeng’amua kwamba kumbe alikuwa akimtabiria mama Samia bila yeye mama kujua tulichokuwa tunafanya.
HAKIKA SHEHE YAHYA ALIKUWA MNAJIMU WA KWELI.
Kumbuka haya yanatokea baada ya miaka 15 ya utabiri wake na mtabiri akiwa katangulia mbele za haki. Sheh Yahya alifariki mwaka 2011. Mungu ampe raha ya milele na amnusuru na adhabu ya kaburini.
MHARIRI WA GAZETI LA UWAZI, ELVAN STAMBULI