Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Hafai hata kuwa mkuu wa wilaya. Ni fisadi wa elimu hata mali.
Haijalishi ndio hivyo tena,wajumbe waneshafanya yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafai hata kuwa mkuu wa wilaya. Ni fisadi wa elimu hata mali.
Ndio yule yupo kule Brazil au ?
Nchimbi aliambiwa atulie.CCM imeishiwa sana viongozi, ndio maana Magufuli alikuwa anateua wapinzani.
Watajilaumu sana baadaye amini nakuambieni mwananguHaijalishi ndio hivyo tena,wajumbe waneshafanya yao.
Yaani wana tuokotea okotea tu.Kweli kabisa.
CCM wote ni kama matambala ya deki.
Hawaaminiani kabisa.
gogoki kasemaje kwanza?
Emma naona unajipa promo mapema kabisaHeshima sana wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.
Ni hayo tu kwa leo
Mtuache na sisi songea tutese kidogo miaka 4 iliyobaki jamaiTanzania kubwa,inamaana sisi Kanda ya ziwa ndo Basi sasa.
Hebu tutolee K vant hapa ww! Hata anajua nini kuhusu mipango ya serikali yetu! Hatutaki watu wa madeAl tunakamirisha ilani! Wanafunzi waliokuwa shule ya shujaa Magu tunawajua!Heshima sana wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.
Ni hayo tu kwa leo
Heshima sana wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.
Ni hayo tu kwa leo
Aisee alisukumiziwa mbali sana kwenye ulingo wa kisiasa mpaka sura tulikuwa tumeanza kuisahauHaswa,kama Laigwanani Mkuu angepewa nafasi CCM basi huyu angekuwa PM.
Rekodi ya Simbachawene iliwekwa sawa pale Temeke kuhusu wastaafu wa polisi.Simba chawene ..
Angalia hii move kwa makini ndio utajua kwanini Magufuli aliwarudisha Lowassa na Rostam walioondoka CCM wakati wa utawala wa JK.Timu ya Bashe ndo ina maagizo maalum na nini cha kufanya.
Inaonekana hayo maagizo walipewa hali ilipozidi kuwa mbaya.
Pia baraza la USALAMA na Kitengo wapo kwa uangalizi zaidi.
Nilisema humu kwamba Mzee Malecela alitoa onyo mapema jana asubuhi.
Bora turudi kuliko RisasiNi YEYE. TUNARUDI KWENYE UFISADI TENA.
Ukabila ulitamalaki na mtapunguzwa mmoja baada ya mmojaTanzania kubwa,inamaana sisi Kanda ya ziwa ndo Basi sasa.