Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Tatizo siyo kuteuliwa je ni mtendaji ?
Raisi samiha s hassan anatakiwa achague mtendaji maana CCM imegawanyika makundi
1.CCM Asilia
2.CCM Makinikia
3.CCM Wazalendo
 
Heshima sana wanajamvi,

Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.

Ni hayo tu kwa leo
Emma naona unajipa promo mapema kabisa
Hivi ubalozi hauna maslahi?
 

Attachments

  • Pimbi.png
    Pimbi.png
    46.2 KB · Views: 1
WanaJf, Salaam!
Wawezao kuvaa viatu vya Mhe Mama Samia kwa nafasi ya Makamu wa Rais ni hawa wafuatao:-
(i). Philip Mpango (Waziri wa Fedha) - huyu amekuwa bega kwa bega na Hayati JPM na amesaidia kuimarika kwa nchi kiuchumi;

(ii). January Makamba (Mbunge) - huyu ni mwanadiplomasia mzuri na mtulivu sana asiyekuwa na papala ktk kuamua jambo;

(iii). Balozi George Simbachawene (huyu pia ni mzuri kwa maamuzi);

(iv). Prof Hawasi - mhazini wa CCM Taifa (huyu anaweza kumsaidia Rais kwa kuwa anaijua vizuri nchi na issues za Muungano

Actually, wazuri wako wengi ila mimi ningekuja na mmoja kati hao
 
Huyu si ndo team Mamvi huyuu... Aliunda team yake na Sofia simba wakafurushwa na mamvi kwa hasira akaja iua UKAWA..

Ndo mumrejeshe.. Kweli mafisadi hamuishi
 
Heshima sana wanajamvi,

Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.

Ni hayo tu kwa leo
Hebu tutolee K vant hapa ww! Hata anajua nini kuhusu mipango ya serikali yetu! Hatutaki watu wa madeAl tunakamirisha ilani! Wanafunzi waliokuwa shule ya shujaa Magu tunawajua!
 
Timu ya Bashe ndo ina maagizo maalum na nini cha kufanya.

Inaonekana hayo maagizo walipewa hali ilipozidi kuwa mbaya.

Pia baraza la USALAMA na Kitengo wapo kwa uangalizi zaidi.

Nilisema humu kwamba Mzee Malecela alitoa onyo mapema jana asubuhi.
Angalia hii move kwa makini ndio utajua kwanini Magufuli aliwarudisha Lowassa na Rostam walioondoka CCM wakati wa utawala wa JK.

Hii issue kama ikitokea inaweza kuwa planned long time ago, siasa ni kama mathematics.
 
Back
Top Bottom