Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Emma naona unajipa promo mapema kabisa
Hivi ubalozi hauna maslahi?
Na mimi ndicho nakiona mimi - wanajipigia debe kwa kutumia cowboy tactics - nalipo muona anamgeuzia kibao Kikwete mchana kweupe akishirikiana na yule mama aliye wahi kuwa Waziri na Kiongozi mkuu wa UWT wanaimba eti wana imani na Lowassa - mnawezaje kuamini mtu ambaye hana msimamo ie highly unpredictable mnaweza kujuwa kesho atafanya nini?

Cha muhimu kamati kuu itumie hekima na busara katika uteuzi wake wa makamu wa Rais.
 
Nchimbi= lukuvi, DC Serengeti,DC Moshi mjini, RC tanga, DC kisr wote hao ni zao la uv ccm,na wengine nimewasahau,
 
Hope makamu rais ni mtu mwingine kabisaa asie na umaarufu wake hope so so soo
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.........

Litakapotolewa hilo jina la makamu wa Rais, litawaacha watu wengi midomo wazi!
 
Nchimbi ni timu lowasa

JK sio timu lowasa

Mangula sio timu lowasa

Pinda sio timu lowasa

Pole pole sio timu lowasa

Kwa hiyo ili nchimbi apite, anahitaji kuiva na JK, Mangula, Karume, Mwinyi, Samia, Pinda.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.........

Litakapotolewa hilo jina la makamu wa Rais, litawaacha watu wengi midomo wazi!
 
Heshima sana wanajamvi,

Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.

Ni hayo tu kwa leo
Ufisadi wenu utaivuruga nchi hii!! Magufuli amewaamsha wananchi hawatakubali ufisadi wa genge la Kikwete!!!! Msifanye mchezo wamachinga na mama ntilie wataingia mtaani!!!
 
Heshima sana wanajamvi,

Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.

Ni hayo tu kwa leo

Sio kwa CCM ya Nyerere na Karume. Walimsamehe, lakini hawajasahau!
 
Vice president is mererly a ceremonial harmless figure.


Mwenyezi Mungu kwa nini umetuchukulia JPM? Tunakuomba sana utuleteee JPM mwingine siyo hawa wa "System." Msaidiea sana Mama Suluh Hassan aweze kusimama kwa nguvu kuhakikisha kuwa anateuliwa Makamu wa rais anayeendana na philosophy ya serikali aliyorithi.
 
Afadhali. Je ingekua Jobu au Bash au Vijisenti au mzee wa vyangudoa ?? SI tungetumbukia kwenye sufuria la utumbo.
 
Huyo Mama naskia anatishwa atapigiwa kura ya kutokuwa na imani nae wabunge wengi waliwekwa na Magufuli, she is scared.

Let's wait & see.
Nani atamfunga paka kengele?
Kwa wabunge Hawa kina Taletale na vibajaji. Forget.
 
Angepatikana makamu wa Rais mwenye historia ya uzalendo wenye ushahidi kwa vitendo! Muumini wa falsafa ya mwl Nyerere ya kujitegemea na kutokutegemea misaada!! Wazee hawa bado wapo! Hawana tamaa ya kujitajirisha kwa ufisadi! Majasiri wasioweza kutikiswa na vitisho vya mabeberu!! Wanaojiamini! Wanaojiheshimu!! Walio tayari kuwa watiifu kwa mama wa taifa! Tulikuwa na baba wa Taifa na Mungu ametupa mama wa Taifa!
 
Hivi akiwa ndalichako kwa vile ni mwanamke mtamkataa,najua mkigoma yule anajua kukokomaa.
 
Angalia hii move kwa makini ndio utajua kwanini Magufuli aliwarudisha Lowassa na Rostam walioondoka CCM wakati wa utawala wa JK.

Hii issue kama ikitokea inaweza kuwa planned long time ago, siasa ni kama mathematics.
Kuna jamaa yangu...tulibishana sana kuwa King maker kuna chezo atacheza mbeleni mtu wake ataingia kuwa kiranja mkuu..dalili naziona sasa na kama mtu wake atapenya basi Mama hataweza ingia after half time..tusubili tuone!!
 
Back
Top Bottom