Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Na mimi ndicho nakiona mimi - wanajipigia debe kwa kutumia cowboy tactics - nalipo muona anamgeuzia kibao Kikwete mchana kweupe akishirikiana na yule mama aliye wahi kuwa Waziri na Kiongozi mkuu wa UWT wanaimba eti wana imani na Lowassa - mnawezaje kuamini mtu ambaye hana msimamo ie highly unpredictable mnaweza kujuwa kesho atafanya nini?Emma naona unajipa promo mapema kabisa
Hivi ubalozi hauna maslahi?
May be this time atateuliwa kwenye wadhifa wa uwaziri kamili.Jana bashe alionekana amevaa barakoa kuhakikisha anajikinga ipasavyo.
He is a very smart young man upstairs na mzee alimpenda kwa hilo.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.........Hope makamu rais ni mtu mwingine kabisaa asie na umaarufu wake hope so so soo
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.........
Litakapotolewa hilo jina la makamu wa Rais, litawaacha watu wengi midomo wazi!
Tetesi hizi kazileta "Nchimbi mwenye" kwa kutumia an alias name kuzuga watu akili.Ok, lets wait and see.
Ufisadi wenu utaivuruga nchi hii!! Magufuli amewaamsha wananchi hawatakubali ufisadi wa genge la Kikwete!!!! Msifanye mchezo wamachinga na mama ntilie wataingia mtaani!!!Heshima sana wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.
Ni hayo tu kwa leo
Kweli wamekosa watu. Hata huyo mzeee wa madada POA yumo kwenye list? Looks like hakuna vetting siku hizi.Aje tu - punda haogopi mizigo "tulishazoea".
January Makamba au Simbachawene (#)
From Yatima Hadeki Camp .
Heshima sana wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha Emanuel Nchimbi ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Makamu wa Rais.
Ni hayo tu kwa leo
Mwenyezi Mungu kwa nini umetuchukulia JPM? Tunakuomba sana utuleteee JPM mwingine siyo hawa wa "System." Msaidiea sana Mama Suluh Hassan aweze kusimama kwa nguvu kuhakikisha kuwa anateuliwa Makamu wa rais anayeendana na philosophy ya serikali aliyorithi.
Nani atamfunga paka kengele?Huyo Mama naskia anatishwa atapigiwa kura ya kutokuwa na imani nae wabunge wengi waliwekwa na Magufuli, she is scared.
Let's wait & see.
Mburahati 😂gogoki kasemaje kwanza?
Vice president is mererly a ceremonial harmless figur
Kuna jamaa yangu...tulibishana sana kuwa King maker kuna chezo atacheza mbeleni mtu wake ataingia kuwa kiranja mkuu..dalili naziona sasa na kama mtu wake atapenya basi Mama hataweza ingia after half time..tusubili tuone!!Angalia hii move kwa makini ndio utajua kwanini Magufuli aliwarudisha Lowassa na Rostam walioondoka CCM wakati wa utawala wa JK.
Hii issue kama ikitokea inaweza kuwa planned long time ago, siasa ni kama mathematics.