blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Kwanini mna mrejesha huyu bwana!??Ni Emanuel nchimbi tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mna mrejesha huyu bwana!??Ni Emanuel nchimbi tu...
Subiri hapo wana CCM wakushangaze!Simbachawene au Mtaka
Andunje hatumtaki na genge lake
Ngongo, acha mzaha tumefiwa na kitabunga wetu, tuko kwenye majonzi mazito.Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Subiri hapo wana CCM wakushangaze!
Utashangaa!! Game changer, king maker, Rostam Aziz, VP! Hata MO Au Bashite aweza kupewa, 9-10 Askofu asiyefufua Gwajiboy aweza magnifies kijiti, au LEMUTUZ super brand!😅
Everyday is Saturday............................... 😎
Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Tunataka mageuzi aliyoyaanzisha JPM yaendelee hivyo hao uliowataja hasa Huyo unayemkubali zaidi ndio hakubaliki zaidi, Kabudi anatoka kundi la CCM mpya anafaa zaidi.January makamba au Bashiru. Especially january namkubali zaidi.
January is our new PM. you can take these words to the bank.
SI mlimfuta kazi kipindi chenu Cha lake zone. Sasa anakuja kivingine.
Hii nchi itatawaliwa na wachaga kupitia mlango wa jikoni.
Piga ua garagaza
Kwa kweli hata Mimi suala la makabila nikishapishana nalo.
Hata wanangu sijui Ni kabila gani. Wana uhehe, uzaramo kwani wamezaliwa Dar, Wana upogoro, Wana upare kwa mbali, Wana uswahili na wanaongea kiingereza.
CCM kutukomesha wanaweza hata kumpa LE MUTUZ, hawashindwi! 😅Gwajima mzee wa mipasho hafai hata robo.
Raisi aongozwe tena??
Kwamba hana uwezo wa kuongoza??
JK from President to Deputy President??
Everyday is Saturday............................... 😎
tinataka mageuzi aliyoyaanzisha JPM yaendelee hivyo hao ulio wataja hasa Huyo unayemkubali zaidi ndo hakubaliki zaidi,kabudi anatoka kundi la ccm mpya anafaa zaidi.
Wakuonyeshe faili lake, umjue?Anayefaa kuwa Makamu wa Rais ni Huyu Kijana Mchapa kazi Mzuri Mwenye kujuwa kuzungumza na kufanya kazi kwa Vitendo. Mheshimiwa Humphrey polepole Mnasemaje?
View attachment 1731697
Mheshimiwa Ndebile Mimi Sina ukabila hata chembe. Kwanza nimeoa kabila jingine ndio maana wanangu hawajui Ni kabila gani. Ila tupende tusipende kupitia mlango wa jikoni wachaga watatawala hii nchi maana viongozi wengi wameoa huko. Sasa sijui Ni mwanamme gani atapewa amri na mkewe halafu akakataa. Mtu huyo hayupoHapana mkuu! Nakukumbusha kuwa katika maisha chagua kile unachokiamini na kukisimamia kwa dhati...una ka element ka ukabila mkuu!