4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sina mengi, ila ujumbe huu mh Assad,ukufikie popote ulipo,na uwafikie wats wote wenye mapenzi mema na Taifa hili.
Bila ubinafsi na uroho wa madaraka,uchama, na ile kitu kiitwachwo wanamtandao bwana anakuona Kama mtu muhimu,uaeweza, kulisaidia Taifa hili KATIKA nafasi ya VP, nakuweza kumsaidia Rais wetu mpya KATIKA kutimiza ndoto zake kwa Taifa hili KATIKA kipindi chake.
Maana Kuna hofu ya MUNGU ndani kwako, sio mwizi, sio mnafiki, ila pia shule ipo
Swali ni je wale waliowaroho wa madaraka, wanamtandao watapenda kulisikia Hili,jibu ni hapana,ila MUNGU anawambia walisikie na walifanyie kazi Mara moja.
Note itakuja HOJA kwamba sio vyema Vp na President kua na imani moja, HOJA ambayo binfsi, naiona haina mashiko kabisa hasa linapokuja,swala la Taifa nyeti Kama Hili la kumpata kiongozi anaestahili, kuwa na viongonzi wa juu wenye imani moja so far MUNGU ni mmoja tukeshae na kumuomba sio tatizo, japo hutumika Kama busara,maana sidhani Kama imetamkwa kwenye Katiba kwamba viongonzi wa juu wawe na imani tofauti
HATUWEZI ACHA TUMIA WATU MAKINI WENYE UWEZO KUFANYA VIZURI KATIKA KULIONGOZA TAIFA KISA WANAMTANDAO,WANAUROHO WA MADARAKA, WA KULINDANA TZ YETU WOTE