Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Sina mengi, ila ujumbe huu mh Assad,ukufikie popote ulipo,na uwafikie wats wote wenye mapenzi mema na Taifa hili.

Bila ubinafsi na uroho wa madaraka,uchama, na ile kitu kiitwachwo wanamtandao bwana anakuona Kama mtu muhimu,uaeweza, kulisaidia Taifa hili KATIKA nafasi ya VP, nakuweza kumsaidia Rais wetu mpya KATIKA kutimiza ndoto zake kwa Taifa hili KATIKA kipindi chake.

Maana Kuna hofu ya MUNGU ndani kwako, sio mwizi, sio mnafiki, ila pia shule ipo

Swali ni je wale waliowaroho wa madaraka, wanamtandao watapenda kulisikia Hili,jibu ni hapana,ila MUNGU anawambia walisikie na walifanyie kazi Mara moja.

Note itakuja HOJA kwamba sio vyema Vp na President kua na imani moja, HOJA ambayo binfsi, naiona haina mashiko kabisa hasa linapokuja,swala la Taifa nyeti Kama Hili la kumpata kiongozi anaestahili, kuwa na viongonzi wa juu wenye imani moja so far MUNGU ni mmoja tukeshae na kumuomba sio tatizo, japo hutumika Kama busara,maana sidhani Kama imetamkwa kwenye Katiba kwamba viongonzi wa juu wawe na imani tofauti

HATUWEZI ACHA TUMIA WATU MAKINI WENYE UWEZO KUFANYA VIZURI KATIKA KULIONGOZA TAIFA KISA WANAMTANDAO,WANAUROHO WA MADARAKA, WA KULINDANA TZ YETU WOTE
 
Angepatikana makamu wa Rais mwenye historia ya uzalendo wenye ushahidi kwa vitendo! Muumini wa falsafa ya mwl Nyerere ya kujitegemea na kutokutegemea misaada!! Wazee hawa bado wapo! Hawana tamaa ya kujitajirisha kwa ufisadi! Majasiri wasioweza kutikiswa na vitisho vya mabeberu!! Wanaojiamini! Wanaojiheshimu!! Walio tayari kuwa watiifu kwa mama wa taifa! Tulikuwa na baba wa Taifa na Mungu ametupa mama wa Taifa!
J sinde Warioba
 
Fisadi na mfia dini yule hafai.
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

R.I.P Magufuli.
 
Hatuwezi kua na rais muislam, makamu muislam, katibu mkuu muislam na PM muislam
Bila shaka kwa nafasi hii watu hawalali, Lumumba na viunga vyake, baraza la Mawaziri nalo lipo tumbo joto maana lazima pangua pangua itakuwepo, kwa nafasi ya VP hapo January ndio chaguo la mama, kiufupi CCM ya asilia inarudi, MATAGA mwisho rasmi umefika.
 
Sina mengi, ila ujumbe huu mh Assad,ukufikie popote ulipo,na uwafikie wats wote wenye mapenzi mema na Taifa hili.
Bila ubinafsi na uroho wa madaraka,uchama, na ile kitu kiitwachwo wanamtandao bwana anakuona Kama mtu muhimu,uaeweza, kulisaidia Taifa hili KATIKA nafasi ya VP, nakuweza kumsaidia Rais wetu mpya KATIKA kutimiza ndoto zake kwa Taifa hili KATIKA kipindi chake,
Maana Kuna hofu ya MUNGU ndani kwako,sio mwizi,sio mnafiki, ila pia shule ipo,
Swali ni je wale waliowaroho wa madaraka, wanamtandao watapenda kulisikia Hili,jibu ni hapana,ila MUNGU anawambia walisikie na walifanyie kazi Mara moja.
Note itakuja HOJA kwamba sio vyema Vp na President kua na imani moja, HOJA ambayo binfsi, naiona haina mashiko kabisa hasa linapokuja,swala la Taifa nyeti Kama Hili la kumpata kiongozi anaestahili, kuwa na viongonzi wa juu wenye imani moja so far MUNGU ni mmoja tukeshae na kumuomba sio tatizo, japo hutumika Kama busara,maana sidhani Kama imetamkwa kwenye Katiba kwamba viongonzi wa juu wawe na imani tofauti,
HATUWEZI ACHA TUMIA WATU MAKINI WENYE UWEZO KUFANYA VIZURI KATIKA KULIONGOZA TAIFA KISA WANAMTANDAO,WANAUROHO WA MADARAKA, WA KULINDANA TZ YETU WOTE

Hafai kwy ngazi hiyo!
 
Mtumishi niko pamoja nawe, nimeona katika kutafuta mvuto na kuleta vitu tofauti, na mtu atakayewaweza mabazazi wa huko serikalini, naamini Slaa aweza kutufaa!

Ila kwa CCM walivyo utasikia Andrew Chenge kapita kwa kishindo! [emoji28]

Everyday is Saturday................................😎

Simbachawene au Mtaka

Andunje hatumtaki na genge lake
 
1. Jakaya Mrisho Kikwete, apewe umakamu wa rais

2. Butiku

3. Kimei

4. Kinana

5. Warioba

6. Prof Muhongo

7. Makinda

7. Mwamunyange

8. Lissu

9. Chikawe

10. Mwandosya

Hao akina January, mwigulu sijui kabudi bado sana. Anatakiwa mkongwe na mwenye busara ya kumwongoza mama kuliweka taifa pazuri
Hiyo list yote hapo namuona labda makinda tu.
 
Bila shaka kwa nafasi hii watu hawalali, Lumumba na viunga vyake, baraza la Mawaziri nalo lipo tumbo joto maana lazima pangua pangua itakuwepo, kwa nafasi ya VP hapo January ndio chaguo la mama, kiufupi CCM ya asilia inarudi, MATAGA mwisho rasmi umefika.

January ndumilakuwili alimsema sana JPM kwy voice note yao! Huo ni usaliti flan kwenye chama
 
Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Ninachoshukuru wasukuma hawafuatilii kabisa hizi propaganda

Halafu mbona kina Masawe na Mushi hakuna anayetajwa au sisi ni fuata upepo?
 
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

R.I.P Magufuli.
Prof. Sospeter Muhongo
 
1. Jakaya Mrisho Kikwete, apewe umakamu wa rais

2. Butiku

3. Kimei

4. Kinana

5. Warioba

6. Prof Muhongo

7. Makinda

7. Mwamunyange

8. Lissu

9. Chikawe

10. Mwandosya

Hao akina January, mwigulu sijui kabudi bado sana. Anatakiwa mkongwe na mwenye busara ya kumwongoza mama kuliweka taifa pazuri
Rais aongozwe tena??

Kwamba hana uwezo wa kuongoza??
JK from President to Deputy President??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ni chaguo pekee na hakuna mwingine zaidi yake.

Kasim Majaliwa for Vice President.

Au mnasemaje!?
 
Ngoja jina litoke hamtakaa muamini baada ya kuja jina ambalo halijawahi jadiliwa hapa hata siku moja, muda utaongea kaa kwa kutulia wajumbe.
 
Back
Top Bottom