Napendekeza wafuatao wawe VP wataendana na Samia.Nchi itatulia na itaenda.Pili hata kinyota wanaendana.Tatu wote ni Wakristo Ili kuleta balance...
Kuna jina la mwanamke litakuja utashangazwa[emoji2]
 
Napendekeza wafuatao wawe VP wataendana na Samia.Nchi itatulia na itaenda.Pili hata kinyota wanaendana.Tatu wote ni Wakristo Ili kuleta balance...
Kuna jina la mwanamke litakuja utashangazwa[emoji2]
 
Hilo jina la mwisho kabisa ndiyo umekosea kabisa. Hao wengine wana make sense.
 
Tafuta nchi yako peke yako ukafanye huu Upuuzi wako. Halafu tambueni ya kwamba huyu ni Rais wa Tanzania na siyo Rais wa Wanawake na Hopeless Feminists wa aina yako. Mnakoelekea na huu Ujuha Wenu baadhi yenu ama mtamponza na kumuharibia huyu Mama.
 
Kwa taadhima huyu mama Asha Rose Migiro anafaa sababu ana cv na uzoefu wa kutosha ndani na kimataifa pia.Atakuza diplomasia yetu kwani ni mwanadiplomasia mzuri sana.Dunia ya sasa huwezi endelea bila kushirikiana kwa faida.Sifa zote zitakiwazo anazo Hakuna sifa stahiki kwa nafasi hio atakosa kuwa nayo.Pili hata kinyota wataendana vizuri Sana na mama yetu mpendwa Kazi zitafanyika na nchi itakwenda,huku tukizidi yaenzi mema ya mpendwa wetu aliyelala.Kina mama ni walezi sio mafisadi,walafi,wezi,watatulea vyema,kama wanaweza lea familia watashindwa vipi kulea nchi?

January apewe mambo ya nje Ili ajifunze zaidi diplomasia ni hazina ya baadae. Antony Mtaka, Jaffo Selemani, Mavunde, Makamba ni tunu na hazina ya baadae wasogezwe karibu Ili wazidi kupata uzoefu na hekima za wazee, Ili nao mda ukifika waweze kabidhiwa leseni ya udereva. Nchimbi apewe ukatibu mkuu wa chama atakwenda sawa. Taifa liwe na tabia ya kuandaa viongozi wa baadae.
 
We want high impact oriented people, Migiro tena, anyway ni maoni yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…