Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Kwa taadhima huyu mama Asha Rose Migiro anafaa sababu ana cv na uzoefu wa kutosha ndani na kimataifa pia.Atakuza diplomasia yetu kwani ni mwanadiplomasia mzuri sana.Dunia ya sasa huwezi endelea bila kushirikiana kwa faida.Sifa zote zitakiwazo anazo Hakuna sifa stahiki kwa nafasi hio atakosa kuwa nayo.Pili hata kinyota wataendana vizuri Sana na mama yetu mpendwa Kazi zitafanyika na nchi itakwenda,huku tukizidi yaenzi mema ya mpendwa wetu aliyelala.Kina mama ni walezi sio mafisadi,walafi,wezi,watatulea vyema,kama wanaweza lea familia watashindwa vipi kulea nchi?
January apewe mambo ya nje Ili ajifunze zaidi diplomasia ni hazina ya baadae.Antony Mtaka, Jaffo Selemani ,Mavunde,Makamba ni tunu na hazina ya baadae wasogezwe karibu Ili wazidi kupata uzoefu na hekima za wazee,Ili nao mda ukifika waweze kabidhiwa leseni ya udereva.Nchimbi apewe ukatibu mkuu wa chama atakwenda sawa.Taifa liwe na tabia ya kuandaa viongozi wa baadae.
Ili iweje!!?
 
Mkuu wakimpa tena na umakamu wa Rais mwanamke, kwajinsi navyowajua wanawake watakuja juu sana hasa wa mitaani, wataanza kuwaoshesha waume zao vyombo na vyupi tena kwa kuwalazimisha.
 
Kwa taadhima huyu mama Asha Rose Migiro anafaa sababu ana cv na uzoefu wa kutosha ndani na kimataifa pia.Atakuza diplomasia yetu kwani ni mwanadiplomasia mzuri sana.Dunia ya sasa huwezi endelea bila kushirikiana kwa faida.Sifa zote zitakiwazo anazo Hakuna sifa stahiki kwa nafasi hio atakosa kuwa nayo.Pili hata kinyota wataendana vizuri Sana na mama yetu mpendwa Kazi zitafanyika na nchi itakwenda,huku tukizidi yaenzi mema ya mpendwa wetu aliyelala.Kina mama ni walezi sio mafisadi,walafi,wezi,watatulea vyema,kama wanaweza lea familia watashindwa vipi kulea nchi?
January apewe mambo ya nje Ili ajifunze zaidi diplomasia ni hazina ya baadae.Antony Mtaka, Jaffo Selemani ,Mavunde,Makamba ni tunu na hazina ya baadae wasogezwe karibu Ili wazidi kupata uzoefu na hekima za wazee,Ili nao mda ukifika waweze kabidhiwa leseni ya udereva.Nchimbi apewe ukatibu mkuu wa chama atakwenda sawa.Taifa liwe na tabia ya kuandaa viongozi wa baadae.
Kwani gogoki kasemaje?
 
Back
Top Bottom