Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Nafasi ya VP wapewe wakongwe kama kina Mkuchika, Mathias Chikawe, Andrew Chenge, Abdul Kinana, Rose Migiro, Mama Tibaijuka, Anna S. Makinda, Balozi Ombeni Sefue, Wiliam Lukuvi, Mark Mwandosya, Balozi Kagasheki, Bernard Membe, Adadi Rajabu, Juma Mwapachu(Sio Baker, Baker ame RIP), Mama Sitta, Christopher Chiza, Balozi Philip Marmo, Lut. Gen. Samwel Ndomba, Lut. Gen. Abdulrahman Shimbo, Lut. Gen James Mwakibolwa, Gen. Davis Mwamnyange, Harrison Mwakyembe, David Mwakyusa, Job Ndugai, Dr. W. Slaa, Stephen Wasira; Orodha ni ndefu.
 
Lakini VP asiteuliwe miongoni mwa wabunge. Kwanini tujiingize gharama ya uchaguzi? Kuna ulazima wa kumteua mtu ambaye ni mbunge?

Kama italazimu kuteuliwa mtu ambaye ni mbunge basi ateuliwa Kasimu Majaliwa Majaliwa ili H.E. SSH apate nafasi ya kumweka PM wake bila kuliongezea Taifa mzigo wa kumlea Majaliwa na PM mpya.

Hayo ndio maslahi mapana ya Taifa.
 
Ok labda PM
PM wakati amekulia na kufanyia kazi nje ya serikali na nje ya chama pia. Natoka naye mkoa mmoja lkn ukweli ubaki kuwa ukweli. Ili uwe PM, uwe na uzoefu ndani ya serikali au chama au vyote. Ila hatuwezi jua labda alikuwa na kile cheo cha zamani cha "Ole Sabaya".
 
Mi
Nafasi ya VP wapewe wakongwe kama kina Mkuchika, Mathias Chikawe, Andrew Chenge, Abdul Kinana, Rose Migiro, Mama Tibaijuka, Anna S. Makinda, Balozi Ombeni Sefue, Wiliam Lukuvi, Mark Mwandosya, Balozi Kagasheki, Bernard Membe, Adadi Rajabu, Juma Mwapachu(Sio Baker, Baker ame RIP), Mama Sitta, Christopher Chiza, Balozi Philip Marmo, Lut. Gen. Samwel Ndomba, Lut. Gen. Abdulrahman Shimbo, Lut. Gen James Mwakibolwa, Gen. Davis Mwamnyange, Harrison Mwakyembe, David Mwakyusa, Job Ndugai, Dr. W. Slaa, Stephen Wasira; Orodha ni ndefu.
Mimi mwalimu mkuu wa shule ya msingi ambae hekima busara exposure na umri nakomelea wapi!?
 
Habari Wana Jf

Huyu ni Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Kama sijakosea.
Kipindi Fulani alikuwa katika mashirika ya kusaidia Maasai Pingo's Forum kabla ya Ubunge.
Nimeonyeshwa anakwenda mbele zaidi katika ndoto zangu.

Mwenye kumjua zaidi atiririke..
Ingia kwenye tovuti ya bunge. Hivi Wana JamiiForums ni wavivu au mazuzu?
Hata ku Google ni kazi ngumu?
 
Afisa Elimu msingi au uDED ukujiendeleza.
Sikujiendeleza ila nimekaa Rome italy 7yrs na Stuttgart German miezi Saba Heathrow airport London ndio uwanja wa mwisho wa ndege kurudi home baada ya korona ya kwanza. Je muheshimiwa DEO UNATAKA NIJE WILAYANI KWako?
 
Nafasi ya VP wapewe wakongwe kama kina Mkuchika, Mathias Chikawe, Andrew Chenge, Abdul Kinana, Rose Migiro, Mama Tibaijuka, Anna S. Makinda, Balozi Ombeni Sefue, Wiliam Lukuvi...
Mwamunyange ameingia ccm lini mkuu?
 
Nafasi ya VP wapewe wakongwe kama kina Mkuchika, Mathias Chikawe, Andrew Chenge, Abdul Kinana, Rose Migiro, Mama Tibaijuka, Anna S. Makinda, Balozi Ombeni Sefue, Wiliam Lukuvi, Mark Mwandosya, Balozi Kagasheki...
Hakuna kitu.
 
Nafasi ya VP wapewe wakongwe kama kina Mkuchika, Mathias Chikawe, Andrew Chenge, Abdul Kinana, Rose Migiro, Mama Tibaijuka, Anna S. Makinda, Balozi Ombeni Sefue.
Na yule mkuuu wa chuo kikuu UDSM jamani.
 
Nionavyo mimi, kama Benard Membe angekuwa mtulivu na mtiifu kwa JPM, basi sasa hivi ni yeye ambaye angekuwa anapigiwa "chapuo" ili awe Makamu wa Raisi.

Hii ingewezekana sana, hasa kutokana na ukaribu aliokuwa nao kwa Mzee Kikwete, lakini sababu ya kukosa "uvumilivu" na "heshima" kwa utawala wa marehemu JPM, leo hii Membe amekosa mwana na maji ya moto.

Hili liwe fundisho kwa wanasiasa wengine pia. Jaribuni kuwa "wavumilivu" maana huwezi jua kesho kitatokea nini. Kama Membe angelitambua thamani ya uvumilivu, leo hii angalikuwa na uhakika wa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa mama Samia Suluhu Hassan.
 
Angekuwa na nafasi nzuri japo sifahamu kwa kiasi gani kwasababu sasa hivi kundi la Lowassa na wale Sukuma wanaonekana wana nguvu zaidi, labda Membe angebebwa na maamuzi binafsi ya mwenyekiti wao kama Kikwete alivyofanya kwa Magufuli.
 
Na yule mkuuu wa chuo kikuu UDSM jamani.
Wale ni typical watumishi wa umma.

Kuna watu wanashngaa kwanini nimeweka watu wa military wastaafu. Wasishangae kwa sababu mbona Jaji Augustino Ramadhani aligombea Urais?
 
Back
Top Bottom