Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,366
Ok labda PMBado mdogo kuwa VP. VP ni nafasi ya maveteran. Hata wanaosema EJN au Mbrazil kwa jina jipya na wanaosema awe Marope jr sioni kama ni watu wanaojua kutabiri mambo au nafasi za kisiasa.
Sisi tusikwenda shule na hivi viingereza bora mtuletee yule Mkalimani wa Ikulu atafsiri.Ole Nasha is a men, generous, brilliant and smart.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
PM wakati amekulia na kufanyia kazi nje ya serikali na nje ya chama pia. Natoka naye mkoa mmoja lkn ukweli ubaki kuwa ukweli. Ili uwe PM, uwe na uzoefu ndani ya serikali au chama au vyote. Ila hatuwezi jua labda alikuwa na kile cheo cha zamani cha "Ole Sabaya".Ok labda PM
Ni sawa tu ila anamzeesha tu Shigela. Shigela bado anafaa ubunge, udiwani, uRC na nafasi zingine. Hata ukatibu Mkuu yaani PS anafaa ila sio VP.Mama anamtaka Shigela
Mimi mwalimu mkuu wa shule ya msingi ambae hekima busara exposure na umri nakomelea wapi!?Nafasi ya VP wapewe wakongwe kama kina Mkuchika, Mathias Chikawe, Andrew Chenge, Abdul Kinana, Rose Migiro, Mama Tibaijuka, Anna S. Makinda, Balozi Ombeni Sefue, Wiliam Lukuvi, Mark Mwandosya, Balozi Kagasheki, Bernard Membe, Adadi Rajabu, Juma Mwapachu(Sio Baker, Baker ame RIP), Mama Sitta, Christopher Chiza, Balozi Philip Marmo, Lut. Gen. Samwel Ndomba, Lut. Gen. Abdulrahman Shimbo, Lut. Gen James Mwakibolwa, Gen. Davis Mwamnyange, Harrison Mwakyembe, David Mwakyusa, Job Ndugai, Dr. W. Slaa, Stephen Wasira; Orodha ni ndefu.
Afisa Elimu msingi au uDED ukujiendeleza.Mi
Mimi mwalimu mkuu wa shule ya msingi ambae hekima busara exposure na umri nakomelea wapi!?
Ingia kwenye tovuti ya bunge. Hivi Wana JamiiForums ni wavivu au mazuzu?Habari Wana Jf
Huyu ni Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Kama sijakosea.
Kipindi Fulani alikuwa katika mashirika ya kusaidia Maasai Pingo's Forum kabla ya Ubunge.
Nimeonyeshwa anakwenda mbele zaidi katika ndoto zangu.
Mwenye kumjua zaidi atiririke..
Sikujiendeleza ila nimekaa Rome italy 7yrs na Stuttgart German miezi Saba Heathrow airport London ndio uwanja wa mwisho wa ndege kurudi home baada ya korona ya kwanza. Je muheshimiwa DEO UNATAKA NIJE WILAYANI KWako?Afisa Elimu msingi au uDED ukujiendeleza.
Mwamunyange ameingia ccm lini mkuu?Nafasi ya VP wapewe wakongwe kama kina Mkuchika, Mathias Chikawe, Andrew Chenge, Abdul Kinana, Rose Migiro, Mama Tibaijuka, Anna S. Makinda, Balozi Ombeni Sefue, Wiliam Lukuvi...
Wafuasi wa lile lafa ndo wenyewe kwa uzembe wa kufikiriIngia kwenye tovuti ya bunge. Hivi Wana JamiiForums ni wavivu au mazuzu?
Hata ku Google ni kazi ngumu?
Hakuna kitu.Nafasi ya VP wapewe wakongwe kama kina Mkuchika, Mathias Chikawe, Andrew Chenge, Abdul Kinana, Rose Migiro, Mama Tibaijuka, Anna S. Makinda, Balozi Ombeni Sefue, Wiliam Lukuvi, Mark Mwandosya, Balozi Kagasheki...
Alinifundisha somo la history na English miaka ya 95/96 kule ololosokwani loliondo!Habari Wana Jf
Huyu ni Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Kama sijakosea.
Na yule mkuuu wa chuo kikuu UDSM jamani.Nafasi ya VP wapewe wakongwe kama kina Mkuchika, Mathias Chikawe, Andrew Chenge, Abdul Kinana, Rose Migiro, Mama Tibaijuka, Anna S. Makinda, Balozi Ombeni Sefue.
Wale ni typical watumishi wa umma.Na yule mkuuu wa chuo kikuu UDSM jamani.