Mara moja hii tumesahau shida ya Makabila Makubwa. Kimei ni mchaga nabtunajua alivyowajaza wachaga CRDB hadi leo wamewaelemea wengine. Mikopo ilikuwa rahisi kwa wachaga ndio maana majumba mengi Dar na Arusha ni yao.

Apana hatutaki, watauza nchi
 
Kama wasukuma walivyo jazana kwenye kila idara
Hakuna wasukuma waliojazana kwenye idara, hii ni propaganda tu zisizo na maana.

Miaka 6 ya Magufuli hakuna ajira, hao wasukuma waliajiriwa wapi?

Zaidi ya 70% wafanyakazi wa CRDB ni Wachagga, huyo mtu apewe nchi kweli?

Proportionately wasukuma ndio kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania lakini hawana ukabila wowote, wachaga ni wachache lakini mna ukabila na kupendeleana sana.

Mfano mdogo ni CRDB tu. Kuna kipindi ilikua makamishna wa TRA ni wachaga, mlitaka kuharibu TRA insingekua jitihada za maksudi TRA ingeharibika.
 
Na wachaga watajimilikisha nchi yote,kumbuka crdb ilivyojaa wachaga.
Huu uzi ndo utatetewa hatar... subiri uone maana humu ndani waki wengi kweli na ndio wanaongoza kumponda hayati na ndio wanaongoza kusema Hayati aliligawa taifa, kisa tu % kubwa wao hawakuoata ulaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu kuwa mpaka unapata kazi bank ni lazima uwe na sifa. Kama nafasi imetangazwa na wenye sifa wote ni Wachaga basi waachwe?
Haiwezekani na wala haiingii akilini hata kwa mtu asie na akili kwamba kwenye watu milioni 60, basi wachaga ndio wenyewe tu wenye sifa za kuajiriwa bank, hii wala haitawezekana.

Kwenye watu 60m, wachaga ni ama mkoa wote wa Kilimanjaro tuchukulie wote ni wachaga, kwa sasa tuwape maximum estimate ni 2m, sasa 2m/60m ni 3.3%.

Unataka kusema kwa watu 60m, 97% hawana sifa za kuajiriwa bank ila 3% ndio wenye sifa pekee za kuajiriwa bank?

Bottom line is, wachaga ni wakabila na wabinafsi.
 
Wacha kujitoa akili wewe msukuma wa bukoori.

Ebu weka list ya baraza la mawaziri na manaibu wao uhesabu idadi ya wasukuma kama hutajikataa mwenyewe.

Na idara kubwa kubwa ndiyo utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…