Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Tena wengine wakijimwambafai utadhani siyo viongoziPoa tu, maana wanaume wametawala miaka zaidi ya 60 wakiwa wao peke yao na wameshindwa utuletea maendeleo ya maana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wengine wakijimwambafai utadhani siyo viongoziPoa tu, maana wanaume wametawala miaka zaidi ya 60 wakiwa wao peke yao na wameshindwa utuletea maendeleo ya maana!
Jinsia ya nini?Mmmh alibadiri jinsia lini mkuu
Jokate awe makamu wa rais? kwa hiyo Diamond na Mtela Mwampamba watakuwa wanaingia ikulu kama Guest za Sinza Mori.Moshi mwingi sana wamama wamekusudia kukamata uongozi wa nchi hii kwa kishindo ni kama wanataka kulipiza kisasi kwa miaka mingi waliyokuwepo benchi.Na wanasema hakuna kama mama ,mibaba kibao imepita hawana jipya zaid ya kuota vitambi...
😂😂😂😂😂😂Ndo mmama mwenyewe?
hahahaaaa.nimecheka sana kwa sauti.Yule akipewa wataanza kumfunga makamu mkuu wa UDSMNasikia ni VINCENSIA SHULE
Jinsia ya nini?
Kwamba ulisoma uzi au heading kweli kabla ya kucomment?Nimesikia ni mzee Sumaye!
Anayebdilika kama kinyonga leo CCM kesho Chadema keshokutwa CCM mtondogoo sijui atakuwa CUF au wapi.Nimesikia ni mzee Sumaye!
Gogoki kasemaje kwani?Moshi mwingi sana wamama wamekusudia kukamata uongozi wa nchi hii kwa kishindo ni kama wanataka kulipiza kisasi kwa miaka mingi waliyokuwepo benchi.Na wanasema hakuna kama mama ,mibaba kibao imepita hawana jipya zaid ya kuota vitambi...
kumbe ndiyo maana tigopesa wameongeza option ya tuma na ya kutoleaMoshi mwingi sana wamama wamekusudia kukamata uongozi wa nchi hii kwa kishindo ni kama wanataka kulipiza kisasi kwa miaka mingi waliyokuwepo benchi.Na wanasema hakuna kama mama ,mibaba kibao imepita hawana jipya zaid ya kuota vitambi...
Kwani hukumsikia raisi alipowapasha pale Dodoma aliposema mimi ndio Raisi enhee alirudia ka mala mbili ,pale kuna watu huenda walipigwa dongo mchana kweupe.Thd imeandikwa kimipasho sana,
Hasa hapo kwenye "halo lalooo"
Uozo wa ....... uzinzi .....................Kisarawe am
Kama hampendani basi tupendeni sisi.Asili ya wanawake hatupendani, hiyo haina kupinga. Kama mnadhani nadanganya 2025 mama samia agombee urais ntapata jibu...
Mbona wanaume tunawapenda sana tu.Kama hampendani basi tupendeni sisi.
😎😎