Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kupewa Veteran ni muhimu, Rais wa JMT ni Mzanzibari, Rais wa Zanzibari na Makamu wake ni Wazanzibari.Kigezo cha kuwa VPURT haijawahi kuwa uwezo. Kigezo kikubwa ni upande wa Muungano anaotokea na busara za kumsaidia Rais bila kumhujumu au kutamani kuwa na mamlaka ya Rais au Maarufu kuliko Rais au kutaka kumrithi Rais.
Hivyo ndio vigezo. Na ndio maana nashawishi nafasi hiyo apewe veteran mojawapo.
Kama Rais wa JMT ni Mzanzibari, basi makamu wake awe wa bara na Mkristo kuweka usawa na kuondoa sintofahamu
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app