Huu uzi ndo utatetewa hatar... subiri uone maana humu ndani waki wengi kweli na ndio wanaongoza kumponda hayati na ndio wanaongoza kusema Hayati aliligawa taifa, kisa tu % kubwa wao hawakuoata ulaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaupinga kwa nguvu zote bila kujali itukadi. Makabila makubwa yametupa funzo kubwa kuyaamini tena tutakuwa tunarudia kosa la marehemu.

1. Wachaga
2. Wasukuma
3. Wanyakyusa
4. Wagogo
5. Wahaya
Mtusamehe ila hatutarudia tena.
 
Mtu anaweza akapandishwa cheo na kupewa majukumu mapya ambayo akashindwa kabisa kuyamudu vyeo. Kuwika kwa Dr. Kimei akiwa ktk mfumo wa kibenki si lazima akafanya hivyo ktk eneo jingine jipya lenye majukumu makubwa ya kitaifa na kimataifa.

Ukweli juu ya jambo hili tunaweza kuiona kupitia mantiki ndani ya nukuu iliyopo ktk kanuni ya Petro iliyopo hapa chini;

"The Principle is a concept in management developed by Laurence J. Peter, which observes that people in a hierarchy tend to rise to their "level of incompetence". In that light therefore employees are promoted based on their success in previous jobs until they reach a level at which they are no longer competent, as skills in one job do not necessarily translate to another"
 
Hizo kampeni humu ndani hatutaki crdb aliiacha na nn wakati ilikuwa ikiwaibia watu kwa maliba ya ajabu mpaka watu wengine wamefilisika kabisa.acheni unafiki wenu.
 
WACHAGA NI KATI YA MIKOA ILOPATA UPENDKEO MIAKA YA NYUMA,wakajiona wao nI bora zaidi ya wengine,,na ni wa binafsi wakubwa,,mfano mzuri ni benki ya CRDB na kimei,,Mbowe na chadema
Kumbe na wewe umeona kama mimi. Kama ligi wachaga sasa hivi wanachezea daraja la nne. Wengi hawana vigezo vya elimu ni wajanja wajanja tu. Watu wa fekedeshee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…