Pole yako,yanayoendelea sasa hivi huko BOT yanafanywa na Wachagga,pia kwanini huyo Marehemu hakuwa muwazi kwenye matumizi ya pesa za Uma kuhusu miradi mbalimbali mpaka ikafikia hatua ya kumtusha CAG na pia kwanini apendelee alipotoka kujenga miradi ya mabilioni?
 
Wasukuma ni Washamba na hawana exposure yoyote,heri sisi yetu watu wa kusini.
 
Yaani why are u guys even discussing this?

Kuna vitu sio vya, kuongelea kabisa ni aibu one of them ni ukabila hata Nyerere alikataa.

Mods futeni huu uzi.
 
Mtu akishakuwa mwanasiasa, anatumia akili na makalio kufikiria. Siungi mkono hoja mkuu
 
Umejuaje Kimei hana Makundi? Au ndio ww mwenyewe! CRDB ilifanyikiwa ilivyofanikiwa kwa kufanyia biashara hela zetu watz yaani za serikali! Serikali ilipobana hali ya huduma zake zilizorota sana na haijawahi kurudi kwenye hali yake ya mwanzo! Kimei ameiacha CRDB ikiwa pagumu! Usilete cheap popularity hapa! Hatuhitaji mtu wa mbali wakati kina Kabudi, Slaa, Lukuvi, Majariwa, wapo! Mtaka, ngoja kwanza aendelee kuuinua Simiyu!
 
Kiukweli kila kabla lina hulka yake..... Ila hii isitufanye tutengane au kubaguana.... Kumbuka Mwalimu aliwahi kusema kuwa tusimnyime mtu nafasi ya kufanya kazi kwa kigezo cha ukabila.

Kwakuwa nchi ni yetu sote wala si ya kabila flani... Basi kila mtu anahaki ya kutoa mchango wake kwa ajili ya ustawi wa taifa..

Tukijikita kwenye swala hili... Basi mtoa post anataka kusema kabila kani linastahili kuongoza nchi hii....?🤷🏿‍♀️
 
Majukumu ya Makam was Rais ni yapi? Je? Anaweza kufanya mapinduzi tunayoyatarajia ikiwa Mkuu wake ana mtizamo tofauti? Ile nafasi ipo ceremonial sana ila inapotokea mambo kama haya ndio inakua mtihani. Naamini kuanzia sasa, makam wa Rais atakua anachaguliwa kwa umakini sana for future use ikitokea la kutokea.

Mtaka hiyo nafasi ni kumionea, anastahili nafasi bora zaidi ya kuonyesha uwezo wake kwa mapana zaidi kwa wigo mkubwa.

Kimei atafutiwe eneo kwenye mambo ya uchumi na fedha.
 
Mara moja hii tumesahau shida ya Makabila Makubwa. Kimei ni mchaga nabtunajua alivyowajaza wachaga CRDB hadi leo wamewaelemea wengine. Mikopo ilikuwa rahisi kwa wachaga ndio maana majumba mengi Dar na Arusha ni yao.

Apana hatutaki, watauza nchi
sorry brother. with all due respect. CRDB in diversity sana. unaajiriwa kwa qualifications sio kabila. and for the record tu ni kuwa ina wafanyakazi wa makabila yote.
tena bank managers wengi si wachaga.

uwe unakuja na facts ukiwa na detailed information ya kabila za wafanyakazi wa crdb. sio unajaza siasa tu.
 
Uinjilist ni kutoa neno,kukusanya sadaka,n,k.
Umakamo ni nafasi pana ya kutumikia watu wote wenye dini na wasio na dini.
Unaonaje tukampa uinjilisti
Kwanza awe makamo,Tanzania inahitaji tutoke tulipo tusongembele kwenye maendeleo,Kimei ni mtashi wa maendeleo.
Hata Magufuli wakati anafungua tawi la CRDB Chato aisema wazi kabisa kuhusu uchapakazi wa Kimei na alisema wazi kabisa bado anamuhitaji kwenye serikali yake.
 
kwani huko ikulu wanafanya biashara mkuu, kuna makeshia huko ikulu
 
Kwasababu Wasukuma sio waongeaji na ni wastarabu ndo mnawashambulia kilakukicha!!
Wasukuma ni Washamba na hawana exposure yoyote,heri sisi yetu watu wa kusini.
Watu wa kusini ndo watu gani?
Ao watu wa kusini wana jiji kubwa kuzidi Jiji la Mwanza la Wasukuma?
Ao watu wa kusini wana jiji lenye mapato kuzidi Mwanza jiji la wasukuma?
Unapataje nguvu wewe mwenye kikabila kidogo kutukana makabila makubwa kama Wasukuma?
Waacheni bhaghosha,awana time na mtu wao ni kazi tu.
 
Wasukuma ni Washamba na hawana exposure yoyote,heri sisi yetu watu wa kusini.
Hahahaaaa washamba mbona jiji la pili kwa ukubwa ni Mwanza mbona sio kwenu huko sikolokonyo acha wivu wa kike na ukabila hatutaki ...eti hatuna exposure nenda mwanza ukaone wasukuma walivo ijenga.sisi hatuna tabia za kujionyesha sisi ndo wazee wa kazi popote alipo msukuma yy ni kazi hata huko kwenu angalia walipo wasukuma uone kazi kazi .
 
Sasa wewe mjinga
Meko msumkuma
Mkuu wa majeshi
Jaji mkuu
Jaji kiongozi
Mlipaji mkuu wa serikali
Kanda ziwa

IGP
70%mawaziri na manaibu.
Wakurugenzi
TPA
RELI
PSSSF
TAAA
NK NK NK NK NK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…