Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Tatizo sio la Wasukuma kula peke yao, ishu ni kuwa incharge alikuwa haruhusu reckless spending habit ambayo tuliizoea na wasukuma sio watu wa show off sana. Af sio watu wa kujenga jenga ovyo. Angekuwa mchaga ndani ya miaka mitano ya magu tu ungekuta wameotesha migorofa njia ya Mbezi- Kibaha kama hawana.akili.nzuri ila.kwa hela za wizi.

Sahizi watu wataanza kutamba sasa subiria msiba uishe.[emoji16][emoji16][emoji16]
Pole yako,yanayoendelea sasa hivi huko BOT yanafanywa na Wachagga,pia kwanini huyo Marehemu hakuwa muwazi kwenye matumizi ya pesa za Uma kuhusu miradi mbalimbali mpaka ikafikia hatua ya kumtusha CAG na pia kwanini apendelee alipotoka kujenga miradi ya mabilioni?
 
Tatizo sio la Wasukuma kula peke yao, ishu ni kuwa incharge alikuwa haruhusu reckless spending habit ambayo tuliizoea na wasukuma sio watu wa show off sana. Af sio watu wa kujenga jenga ovyo. Angekuwa mchaga ndani ya miaka mitano ya magu tu ungekuta wameotesha migorofa njia ya Mbezi- Kibaha kama hawana.akili.nzuri ila.kwa hela za wizi.

Sahizi watu wataanza kutamba sasa subiria msiba uishe.[emoji16][emoji16][emoji16]
Wasukuma ni Washamba na hawana exposure yoyote,heri sisi yetu watu wa kusini.
 
Yaani why are u guys even discussing this?

Kuna vitu sio vya, kuongelea kabisa ni aibu one of them ni ukabila hata Nyerere alikataa.

Mods futeni huu uzi.
 
Wana JF

Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.

Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.

Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
Mtu akishakuwa mwanasiasa, anatumia akili na makalio kufikiria. Siungi mkono hoja mkuu
 
Umejuaje Kimei hana Makundi? Au ndio ww mwenyewe! CRDB ilifanyikiwa ilivyofanikiwa kwa kufanyia biashara hela zetu watz yaani za serikali! Serikali ilipobana hali ya huduma zake zilizorota sana na haijawahi kurudi kwenye hali yake ya mwanzo! Kimei ameiacha CRDB ikiwa pagumu! Usilete cheap popularity hapa! Hatuhitaji mtu wa mbali wakati kina Kabudi, Slaa, Lukuvi, Majariwa, wapo! Mtaka, ngoja kwanza aendelee kuuinua Simiyu!
 
Kiukweli kila kabla lina hulka yake..... Ila hii isitufanye tutengane au kubaguana.... Kumbuka Mwalimu aliwahi kusema kuwa tusimnyime mtu nafasi ya kufanya kazi kwa kigezo cha ukabila.

Kwakuwa nchi ni yetu sote wala si ya kabila flani... Basi kila mtu anahaki ya kutoa mchango wake kwa ajili ya ustawi wa taifa..

Tukijikita kwenye swala hili... Basi mtoa post anataka kusema kabila kani linastahili kuongoza nchi hii....?🤷🏿‍♀️
 
Majukumu ya Makam was Rais ni yapi? Je? Anaweza kufanya mapinduzi tunayoyatarajia ikiwa Mkuu wake ana mtizamo tofauti? Ile nafasi ipo ceremonial sana ila inapotokea mambo kama haya ndio inakua mtihani. Naamini kuanzia sasa, makam wa Rais atakua anachaguliwa kwa umakini sana for future use ikitokea la kutokea.

Mtaka hiyo nafasi ni kumionea, anastahili nafasi bora zaidi ya kuonyesha uwezo wake kwa mapana zaidi kwa wigo mkubwa.

Kimei atafutiwe eneo kwenye mambo ya uchumi na fedha.
 
Mara moja hii tumesahau shida ya Makabila Makubwa. Kimei ni mchaga nabtunajua alivyowajaza wachaga CRDB hadi leo wamewaelemea wengine. Mikopo ilikuwa rahisi kwa wachaga ndio maana majumba mengi Dar na Arusha ni yao.

Apana hatutaki, watauza nchi
sorry brother. with all due respect. CRDB in diversity sana. unaajiriwa kwa qualifications sio kabila. and for the record tu ni kuwa ina wafanyakazi wa makabila yote.
tena bank managers wengi si wachaga.

uwe unakuja na facts ukiwa na detailed information ya kabila za wafanyakazi wa crdb. sio unajaza siasa tu.
 
Uinjilist ni kutoa neno,kukusanya sadaka,n,k.
Umakamo ni nafasi pana ya kutumikia watu wote wenye dini na wasio na dini.
Unaonaje tukampa uinjilisti
Kwanza awe makamo,Tanzania inahitaji tutoke tulipo tusongembele kwenye maendeleo,Kimei ni mtashi wa maendeleo.
Hata Magufuli wakati anafungua tawi la CRDB Chato aisema wazi kabisa kuhusu uchapakazi wa Kimei na alisema wazi kabisa bado anamuhitaji kwenye serikali yake.
 
Wana JF

Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.

Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.

Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
kwani huko ikulu wanafanya biashara mkuu, kuna makeshia huko ikulu
 
Kwasababu Wasukuma sio waongeaji na ni wastarabu ndo mnawashambulia kilakukicha!!
Wasukuma ni Washamba na hawana exposure yoyote,heri sisi yetu watu wa kusini.
Watu wa kusini ndo watu gani?
Ao watu wa kusini wana jiji kubwa kuzidi Jiji la Mwanza la Wasukuma?
Ao watu wa kusini wana jiji lenye mapato kuzidi Mwanza jiji la wasukuma?
Unapataje nguvu wewe mwenye kikabila kidogo kutukana makabila makubwa kama Wasukuma?
Waacheni bhaghosha,awana time na mtu wao ni kazi tu.
 
Wasukuma ni Washamba na hawana exposure yoyote,heri sisi yetu watu wa kusini.
Hahahaaaa washamba mbona jiji la pili kwa ukubwa ni Mwanza mbona sio kwenu huko sikolokonyo acha wivu wa kike na ukabila hatutaki ...eti hatuna exposure nenda mwanza ukaone wasukuma walivo ijenga.sisi hatuna tabia za kujionyesha sisi ndo wazee wa kazi popote alipo msukuma yy ni kazi hata huko kwenu angalia walipo wasukuma uone kazi kazi .
 
Sasa wewe mjinga
Meko msumkuma
Mkuu wa majeshi
Jaji mkuu
Jaji kiongozi
Mlipaji mkuu wa serikali
Kanda ziwa

IGP
70%mawaziri na manaibu.
Wakurugenzi
TPA
RELI
PSSSF
TAAA
NK NK NK NK NK
Hakuna wasukuma waliojazana kwenye idara, hii ni propaganda tu zisizo na maana.

Miaka 6 ya Magufuli hakuna ajira, hao wasukuma waliajiriwa wapi?

Zaidi ya 70% wafanyakazi wa CRDB ni Wachagga, huyo mtu apewe nchi kweli?

Proportionately wasukuma ndio kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania lakini hawana ukabila wowote, wachaga ni wachache lakini mna ukabila na kupendeleana sana.

Mfano mdogo ni CRDB tu. Kuna kipindi ilikua makamishna wa TRA ni wachaga, mlitaka kuharibu TRA insingekua jitihada za maksudi TRA ingeharibika.
 
Back
Top Bottom