NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Acheni kujadili ukabila,Mzee Kimei anafaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Always imekuwa hivyo na Trend itaendelea hivyo, usishangae mkurugenzi flani ndio akawa makamu wa RaisiMakamu wa rais atakua ni mtu ambaye hakua maarufu.
Pole yako,yanayoendelea sasa hivi huko BOT yanafanywa na Wachagga,pia kwanini huyo Marehemu hakuwa muwazi kwenye matumizi ya pesa za Uma kuhusu miradi mbalimbali mpaka ikafikia hatua ya kumtusha CAG na pia kwanini apendelee alipotoka kujenga miradi ya mabilioni?Tatizo sio la Wasukuma kula peke yao, ishu ni kuwa incharge alikuwa haruhusu reckless spending habit ambayo tuliizoea na wasukuma sio watu wa show off sana. Af sio watu wa kujenga jenga ovyo. Angekuwa mchaga ndani ya miaka mitano ya magu tu ungekuta wameotesha migorofa njia ya Mbezi- Kibaha kama hawana.akili.nzuri ila.kwa hela za wizi.
Sahizi watu wataanza kutamba sasa subiria msiba uishe.[emoji16][emoji16][emoji16]
Anawafaa wachaga, akaongoze Saccos yao ya CRDBAcheni kujadili ukabila,Mzee Kimei anafaa.
Wasukuma ni Washamba na hawana exposure yoyote,heri sisi yetu watu wa kusini.Tatizo sio la Wasukuma kula peke yao, ishu ni kuwa incharge alikuwa haruhusu reckless spending habit ambayo tuliizoea na wasukuma sio watu wa show off sana. Af sio watu wa kujenga jenga ovyo. Angekuwa mchaga ndani ya miaka mitano ya magu tu ungekuta wameotesha migorofa njia ya Mbezi- Kibaha kama hawana.akili.nzuri ila.kwa hela za wizi.
Sahizi watu wataanza kutamba sasa subiria msiba uishe.[emoji16][emoji16][emoji16]
Mtu akishakuwa mwanasiasa, anatumia akili na makalio kufikiria. Siungi mkono hoja mkuuWana JF
Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.
Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.
Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
Unaonaje tukampa uinjilistiAcheni kujadili ukabila,Mzee Kimei anafaa.
Umejuaje Kimei hana Makundi? Au ndio ww mwenyewe! CRDB ilifanyikiwa ilivyofanikiwa kwa kufanyia biashara hela zetu watz yaani za serikali! Serikali ilipobana hali ya huduma zake zilizorota sana na haijawahi kurudi kwenye hali yake ya mwanzo! Kimei ameiacha CRDB ikiwa pagumu! Usilete cheap popularity hapa! Hatuhitaji mtu wa mbali wakati kina Kabudi, Slaa, Lukuvi, Majariwa, wapo! Mtaka, ngoja kwanza aendelee kuuinua Simiyu!Wana JF
Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.
Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.
Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
sorry brother. with all due respect. CRDB in diversity sana. unaajiriwa kwa qualifications sio kabila. and for the record tu ni kuwa ina wafanyakazi wa makabila yote.Mara moja hii tumesahau shida ya Makabila Makubwa. Kimei ni mchaga nabtunajua alivyowajaza wachaga CRDB hadi leo wamewaelemea wengine. Mikopo ilikuwa rahisi kwa wachaga ndio maana majumba mengi Dar na Arusha ni yao.
Apana hatutaki, watauza nchi
Kwanza awe makamo,Tanzania inahitaji tutoke tulipo tusongembele kwenye maendeleo,Kimei ni mtashi wa maendeleo.Unaonaje tukampa uinjilisti
Wasukuma wamewakosea nn hebu nenda mwanza ukajaribu kukaa huko uone km kuna ukabila watakupokea kama nduguKwa hiyo bora Wasukuma sio? Heri ya hao Wachagga walikuwa wanakula na kila mtu kuliko hawa Wasukuma wanakula peke yao hata mabaki hawaachi.
kwani huko ikulu wanafanya biashara mkuu, kuna makeshia huko ikuluWana JF
Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.
Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.
Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
Watu wa kusini ndo watu gani?Wasukuma ni Washamba na hawana exposure yoyote,heri sisi yetu watu wa kusini.
Hahahaaaa washamba mbona jiji la pili kwa ukubwa ni Mwanza mbona sio kwenu huko sikolokonyo acha wivu wa kike na ukabila hatutaki ...eti hatuna exposure nenda mwanza ukaone wasukuma walivo ijenga.sisi hatuna tabia za kujionyesha sisi ndo wazee wa kazi popote alipo msukuma yy ni kazi hata huko kwenu angalia walipo wasukuma uone kazi kazi .Wasukuma ni Washamba na hawana exposure yoyote,heri sisi yetu watu wa kusini.
Wasukuma wametuteka,kutuua,kutuletea Udini na Ukabila kwa miaka 5.Wasukuma wamewakosea nn hebu nenda mwanza ukajaribu kukaa huko uone km kuna ukabila watakupokea kama ndugu
Hakuna wasukuma waliojazana kwenye idara, hii ni propaganda tu zisizo na maana.
Miaka 6 ya Magufuli hakuna ajira, hao wasukuma waliajiriwa wapi?
Zaidi ya 70% wafanyakazi wa CRDB ni Wachagga, huyo mtu apewe nchi kweli?
Proportionately wasukuma ndio kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania lakini hawana ukabila wowote, wachaga ni wachache lakini mna ukabila na kupendeleana sana.
Mfano mdogo ni CRDB tu. Kuna kipindi ilikua makamishna wa TRA ni wachaga, mlitaka kuharibu TRA insingekua jitihada za maksudi TRA ingeharibika.