Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kwa anavyopenda kuwajibika hiyo nafasi sidhani kama ana hamu nayoMakamu ni Majaliwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa anavyopenda kuwajibika hiyo nafasi sidhani kama ana hamu nayoMakamu ni Majaliwa..
Na wewe unapiga debe siyo?Makamu ni Majaliwa..
How many times must we remind you? "SERIKALI HAINA DINI" repeat "Serikali haina DINI" - kinacho tafutwa ni uwezo wa kuchapa kazi, UBUNIFU kama wa JPM, elimu ya Chuo Kikuu ya moja kwa moja, udhubutu, kuwa na mahamuzi yenye msimamo bila ya kuyumba yumba, kuto ogopa lawama - kuendesha Taifa ki-fang fang kwa miaka mingine mitano tena emulating our hero JPM to the letter.
Tukishindwa kuzingatia mbinu za uongozi wa JPM taifa letu linaweza kujikuta linarudi nyuma kimaendeleo na mafisadi watarudi kwa nia na kasi mpya ya kuteka nyara sekta nyeti za Taifa letu kwa mara nyingine tena, rai yangu kwa kamati kuu iwe makini sana katika Teuzi zao ya makamu wa Rais, hakuna Mtanzania mwenye akili timamu angependa kurudi tena kwenye zama za awamu ya nne, kamati kuu ikifanya makosa katika teuzi zake, basi tujiweke tayari to kiss good bye JPM's efforts za kuinua Taifa letu kimaendeleo - tutarudi tena kule kule kwenye zama za everyman 4 him/herself God 4 us all.
Waziri mkuu alisema Rais anachapa kazi kumbe Rais anaumwa.aondolewe kabisa. Samia apange baraza jipya la mawaziri. Doto biteko out,doto james out,kuna watu wakipewa ukurungezi wa Halmashauri hata uwezo hawana.Dr. Emmamuel Nchimbi anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Mama Samia Suluhu ambaye muda wowote kuanzia sasa ataapishwa kuwa Rais wa JMT... Nchimbi ameonekana kama mtu makini, mwenye uwezo na uzoefu katika utumishi.
Mbali na Nchimbi mwanasiasa mwingine anayetajwa ni William Lukuvi ambaye kwa sasa ni Waziri wa Ardhi.
Muda si mrefu nchi itapata Makamu wa Rais ambaye uteuzi wake utafanywa na Rais ajaye Mama Samia akishauriana na chama chake CCM. Tayari CCM kimeirisha kikao cha Kamati Kuu siku ya Jmosi
Kwa maoni yngu wakimpa huyo utendaji utazorota Serikalini,abaki hivyo hivyoMakamu ni Majaliwa..
Slaa hata Urais anatoshaBalozi Dr. WILBROD SLAA anafaa kwa huu wakati arudi kusaidia nchi.
Anaweza kupiganisha yule adui
Majaliwa odds hazitally The Boss mtu mzima utakuwa umenisoma. Mkeka hautandikikiMakamu ni Majaliwa..
NIkajua haya mambo siku hizi yamekwisha, tunatafuta kiongozi bora.Aaa we! Hapo juu ni kuwe na dini nyingine[emoji1241]
Dah wakongwe wa jukwaa mmeibuka!?Ngoja nikaange bisi sasaLukuvi na makashfa yote hayo , halafu ngumbaru...
Sumu haionjwiHe is corrupt!! He is Rostam’s creature!! Angalieni sana influence ya Rostam katika kushawishi ccm nani awe makamu wa Rais! Kundi la Kikwete la mtandao watakuwa mstari wa mbele kutaka kuweka kinyago chao NCHIMBI!!
Hawa wanamtandao ni waporaji wa rasilimali za nchi: msisahau jinsi walivyo ifilisi nchi enzi za Kikwete na sasa watajipanga kurudi!!
KAMATI KUU IKIMRUDISHA NCHIMBI BASI TUTARUDIA UTAWALA WA KIKWETE HAPANA SHAKA!! MUNGU ATUEPUSHE NA ALIEPUSHE TAIFA LETU NA BALAA HILI.
Huyo mzee namkubali sanaBalozi Dr. WILBROD SLAA anafaa kwa huu wakati arudi kusaidia nchi.
Anaweza kupiganisha yule adui
Hiki kichwa nakikubari sanaTwende na... View attachment 1728960