Makamba apewe wizara ya mambo ya nje ni kijana akaiuze nje kimataifa kwamba sasa shwali njoo leteni pesa zenu mgeni njoo tupate Kazi, tupate kodi.Umewaza kama mimi Chief, namuona January akienda kushine tena, japo inaweza isiwe kirahisi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamba apewe wizara ya mambo ya nje ni kijana akaiuze nje kimataifa kwamba sasa shwali njoo leteni pesa zenu mgeni njoo tupate Kazi, tupate kodi.Umewaza kama mimi Chief, namuona January akienda kushine tena, japo inaweza isiwe kirahisi sana.
Mshamba tu huyo achana nae.Acha uchawi ww.. kwahiyo angekuwa mamako usingekubali awe RAIS?
Hata usiporudiwa upinzani wapewe viti mfano cdm viti 40,ACT 10,Nccr 5.Itapendeza ,kufumba macho ,kubadilisha baadhi ya vifungu , makamu atoke vyama vya upinzani ikiwa ni pamoja kuvunja bunge , namanisha uchaguzi wa wabunge na madiwani urudiwe upya....
Wanaganga yajayo ,'God created us for a purpose'Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba (Mazishi) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
Samia Zanzibar sio PwaniRais Pwani na makamu wa Rais iwe Pwani tena?
Yes kweli ksbisaYes hata mimi nimewaza,serikali ya maridhiano
Tena mkristo mkatoliki, wakatoliki hatupaswi kukosekana kwenye nafasi tatu za uongozi wa juu.Kigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
Kwani mama sio mzoefu mpaka hao wamwambieYes, lazma anatakiwa awe na watu ambao ni guru na ambao waliwahi kuwa kwny serikali mda mrefu ambao wana uwezo wa kumwambia mama, uamuzi huo siyo sahihi ila huu ndiyo sahihi
Makamba na Makonda hawafai ni wachumia tumbo.Tunataka watu wazalendo wa kweli,wanaoweza kufanya maamuzi magumu,wenye uthubutu na watakao-wajali wananchi wa kawaida.Jina la Makamba haliwezi kupata uungwaji mkono wa 50% bungeni, hata kwenye chama kwenyewe sioni...
nchimbi huyuhuyu wa tragedy za Ipy na Amina, mzee wa 'kamati ya ufundi'I thought Majaliwa should resign for a broad daylight lie about whereabouts of the former President
gogoki2014 amesema ni Nchimbi ambaye anatakiwa na TIMU 3 ya kina Kinana/JK/Makamba.
Mara hii mnajitia kusahau the late JPM alisema nini kuhusu rais mtarajiwa wa awamu ya sita - je, unaye mtaja alikuwemo kwenye list ya JPM? Labda tuanzie hapo.Lukuvi tayari mbunge anatakiwa mtu ambae sio mbunge
?Lukuvi ni mtu smart kiasi japo sijamfuatilia sana anafaa pia.
Kipenzi cha watu ambae aliachia wauza madawa ya kulevya yakaribu nguvu kazi ya vijana wetu ambao wameharibika kwa kutumia hayo madawa?
Mwenzetu bado upo usingizini.Poleee, kumekuchaa jifunuwee
upuuziNasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Yaani watu kama ninyi mnafaa kupigwa mawe hadi kufa.Laiti ungekuwa karibu yangu!Mwenzetu bado upo usingizini.Poleee, kumekuchaa jifunuwee
Na imani na JK ,tumechoka kuishi kama mko korea kaskazini uchumi umeganda, kila jirani ni vurugu yaani tabu tupu.Naumuona kabisa mheshimiwa Kikwete akimtia nguvu Mama na kumpa miongozo sahihi ya kutuvusha. nimeamini usiwatukane mamba kabla hujavuka mto.
Una ushahidi wa hili? Twiga waliisha porini?Nchi ilifilisiwa mpaka kuuza TWIGA!! Madini kama Tanzanite yalikuwa yanaporwa kama watu walikuwa hawana akili nzuri; Dhahabu zilikuwa zinachukuliwa tu; pembe za ndovu zinaporwa tu!!! Uchumi ulikuwa wa watu kuuza madawa ya kulevya. Na huko ndiko wanakotaka kuirudisha nchi kwa kumuweka NCHIMBI kama makamu wa Rais.