Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Itapendeza ,kufumba macho ,kubadilisha baadhi ya vifungu , makamu atoke vyama vya upinzani ikiwa ni pamoja kuvunja bunge , namanisha uchaguzi wa wabunge na madiwani urudiwe upya....
Hata usiporudiwa upinzani wapewe viti mfano cdm viti 40,ACT 10,Nccr 5.
 
Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba (Mazishi) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
Wanaganga yajayo ,'God created us for a purpose'
 
Yes, lazma anatakiwa awe na watu ambao ni guru na ambao waliwahi kuwa kwny serikali mda mrefu ambao wana uwezo wa kumwambia mama, uamuzi huo siyo sahihi ila huu ndiyo sahihi
Kwani mama sio mzoefu mpaka hao wamwambie
 
Jina la Makamba haliwezi kupata uungwaji mkono wa 50% bungeni, hata kwenye chama kwenyewe sioni...
Makamba na Makonda hawafai ni wachumia tumbo.Tunataka watu wazalendo wa kweli,wanaoweza kufanya maamuzi magumu,wenye uthubutu na watakao-wajali wananchi wa kawaida.

Sioni characters hizo kwa January na Makonda,they are opportunistic.
 
I thought Majaliwa should resign for a broad daylight lie about whereabouts of the former President
gogoki2014 amesema ni Nchimbi ambaye anatakiwa na TIMU 3 ya kina Kinana/JK/Makamba.
nchimbi huyuhuyu wa tragedy za Ipy na Amina, mzee wa 'kamati ya ufundi'
Dah aisee watakua wanatengeneza bomu lingine
 
GENGE na maslahi yao binafsi Mungu anawaona. Mtadondoka mmoja baada ya mwingine, msicheze na watanzania wanaoomba
 
Naumuona kabisa mheshimiwa Kikwete akimtia nguvu Mama na kumpa miongozo sahihi ya kutuvusha. nimeamini usiwatukane mamba kabla hujavuka mto.
Na imani na JK ,tumechoka kuishi kama mko korea kaskazini uchumi umeganda, kila jirani ni vurugu yaani tabu tupu.

Bahati nzuri mama ni zao la JK since then so sitarajii genge la Chato kuleta nongwa
 
Nchi ilifilisiwa mpaka kuuza TWIGA!! Madini kama Tanzanite yalikuwa yanaporwa kama watu walikuwa hawana akili nzuri; Dhahabu zilikuwa zinachukuliwa tu; pembe za ndovu zinaporwa tu!!! Uchumi ulikuwa wa watu kuuza madawa ya kulevya. Na huko ndiko wanakotaka kuirudisha nchi kwa kumuweka NCHIMBI kama makamu wa Rais.
Una ushahidi wa hili? Twiga waliisha porini?

Mahakama ya mafisadi iliishia wapi? Mda umefika yaliyokuwa yamejificha yatajulikana
 
Back
Top Bottom