nra2303
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 2,975
- 2,547
Mwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kabudi na Mwigulu Hapana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
Kwa hiyo kuwa makamu wa rais ni kujenga madaraja, majengo na mabarabara??Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina...
Kati ya vitu vilivyosababisha uchumi kuyumba ni kulazimisha kuhamisha Serikali DodomaOne of the best statement nimewahi kusoma hapa.. umeongea jambo Pana Sana..binafsi Mimi hupenda kujiuliza ni nini zilikua dira za viongozi wa Zamani kama vile Nyerere na Karume katika kutekeleza mipango KAZI Yao?...
ATAPIGWAJE CHINI WAKATI NDIYE MAKAMU WA RAIS MTARAJIWA?JANUARY MAKAMBA MAKAMU,DR CHARLES KIMEI AWE WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA NA KITAFUTWE KICHWA KWA AJILI YA KUSHUGHULIKIA MAHUSIANO YA KIMATAIFA Prof MIJICHO APIGWE CHINI
Kwani walipompa kandarasi ya kuhudumia migodi yote hawakuwa wameshaufyata kwa mabeberu?Maamuzi ya kamati kuu ya CCM ndio yataonesha kuwa wapinga ubeberu wameufyata!!
Napinga japo mimi niko mrengo wa vyama vya upinzani. Kazi ya vyama hivi ni kutoa sera mbadala na vitashindwa kufanya hivi kama vitaingia serikalini. Cha msingi vyama hivi vipewe nafasi ya kufanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria na tuwe na Tume Huru ya Uchaguzi.Itapendeza kufumba macho, kubadilisha baadhi ya vifungu, makamu atoke vyama vya upinzani ikiwa ni pamoja kuvunja bunge, namanisha uchaguzi wa wabunge na madiwani urudiwe upya.
Lengo kuleta mshikamano wa kitaifa, hata huwe malaika kuongoza nchi ikiwa imagawanyika ni ngum Sana, wazee, wastahafu kutoka CCM, hapa simameni imara kwa maslahi mapana ya taifa.
Makamo wa Rais wa JK walikuwa wa dini gani?Kigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe Mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria.
Ungekuwa karibu yangu ningekutemea mate. Usirudie tenaBernard Membe
😂🤪😁Ungekuwa karibu yangu ningekutemea mate. Usirudie tena
Uko sahihi mkuu [emoji122]Jk na Mama ni watu wanao elewana sanaKatika Urais wa mama huyu, January Makamba anarudi kwenye cabinet japo si lazima awe PM...
Rais atakuwa Samia Suluhu Hassan katika kipindi hiki cha mpito, lakini atakuwa controlled na "remote control" ambaye ni Jakaya Mrisho Kikwete...
The Kikwete Era is back...
Sawa, tuwe na subiraMkuu gharama sio kitu katika kurudisha nchi kwenye mstari,gharama ngapi tumeona zikitumika hata katika vitu ambayo havina maana?
Kusema msiba sio kutafuta ulaji au nafasi za uongozi ,ukisema sijaangalia maslai ya chama kimoja kimoja unakosea ,hapa ni taifa kwanza Mambo mengine badae, ccm ina watu vyama vya upinzani vina watu , Sasa kuwaleta pamoja ni kufanya hivyo.
Kuvunja bunge KWA rais ajaye hakiepukiki, ili kupata bunge imara la kumsaidia huyu mama, sio la Sasa ,narudia sio Hili, tunataka nchi mpya na mshikamano mpya Kama taifa ambao imevurugwa vya kutosha