Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Hatimaye kwa namna yoyote ile ubao umelalia kaskazini. Kwa mara ya kwanza katika historia huenda na kwa asilimia kubwa tena za kutosha makamu wa Rais atatokea katika ukanda huo yaani kaskazini.

Mimi nimemhifadhi mtu ambaye anapewa nafasi kubwa ya kukalia hicho kiti. Nitakuja kumtaja huko mbeleni.

Unaweza kubashiri.
Utamtaja akishatajwa, si ndio...
 
Hatimaye kwa namna yoyote ile ubao umelalia kaskazini. Kwa mara ya kwanza katika historia huenda na kwa asilimia kubwa tena za kutosha makamu wa Rais atatokea katika ukanda huo yaani kaskazini.

Mimi nimemhifadhi mtu ambaye anapewa nafasi kubwa ya kukalia hicho kiti. Nitakuja kumtaja huko mbeleni.

Unaweza kubashiri.
Nani huyo pale kaskazini. Prof Maghembe ambaye hata kwenye msiba sdhan kama kaonekana. Au wewe unataka kutuambia nani. Labda Dr kimei anayeonekana na yeye atakuwa na vitabia vya uchaga vyenye mlengo wa kichatochato. Nani sasa pale kaskazin maana naona labda January Makamba kijana mwenye maono ya kuyaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuatilia Historia Kijana.. alikuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu at the same time mwaka 1983
Wakati huo makamu wa rais alikuwa wapi hadi Msuya akawa vp at the same timu akiwa ni pm?
 
Back
Top Bottom