Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Achana na uwezo wa ndugai

Kwako wewe bora kuwa VP kuliko kuwa speaker.

Kwani kwa sahizi ambapo hatuna VP Then Raisi akashindwa Kutekeleza majukumu yake nani anatakiwa kuwa Raisi.
haaaaaaaaaaaaaaaaa raia mnanizomea kwa maoni yangu binafsi,nimeweka video zake mbili kuhusu tundu lissu uwezo wake wa kuchanganua mambo ulinivutia sana kwenye sakata la lissu ,ndugai ndiye Rais ajaye wa Tanzania....2025-hadi atakapoamua kuacha mwenyewe ATAKE ASITAKE ATATATAWALA NCHI HII KWA MIAKA 30
 
Haupo serious
 
Ndugai umakamu hupati uspika wenyewe siku zinahesabika

Ukweli ni kuwa bila Jiwe kufanya Nguvu kuwazuia watu kugombea uBunge wa Kongwa, saa hizi Ndugai angekuwa anauza mahindi Kibaigwa. Jiwe alifanya kila mbinu kusupress watu wasichukue form za kugombea ubunge jimbo la Kongwa! Halafu Ndugai akapita bila kupingwa!
 
NAWAHAKIKISHIA HUYU MZEE NDUGAI NI MTU MUADILIFU A MAN OF HIS WORDS,MZALENDO,SIO FISADI, MTENDA HAKI ANAYEFATA SHERIA .
MUNGU MBARIKI SANA HUU MZEEE ANAFAA KABISA KUPATA U MAKAMU WA RAIS HUYU NEXT SHUJAA WA AFRICA.KIPENZI CHA WANYONGE

Kweli una njaa kali na bado, wewe na wenzako njaa itawamaliza.
 
Mimi nmekuelewa mkuu.

Umeonyesha jinsi Ndugai alivyotoka kusema, Bunge litagharamia matibabu ya Lissu.
Mpaka kumvua Ubunge(eti hatambui alipo)

Hizo nyingine ni blahblah tuu.

Ujumbe wako uko kwenye video.
 
Nani amekupa wazo La kujipendekeza kwa ndugai? Amekutuma?
ID ya Ndugai hii. Anajipigia debe baada ya kuona bunge linaweza vunjwa mda wowote kupisha Uchaguzi mpya wa Wabunge.
Ndugai tulikwambia wewe ni DHAIFU Ndugai.
 
NAWAHAKIKISHIA HUYU MZEE NDUGAI NI MTU MUADILIFU A MAN OF HIS WORDS,MZALENDO,SIO FISADI, MTENDA HAKI ANAYEFATA SHERIA .
MUNGU MBARIKI SANA HUU MZEEE ANAFAA KABISA KUPATA U MAKAMU WA RAIS HUYU NEXT SHUJAA WA AFRICA.KIPENZI CHA WANYONGE

Naona umelewa ugimbi hapo chamwino
 
Tatizo la upinzani wetu,walitaka Magufuli aondoke kwa njia yoyote,lakini hawakujipanga kwamba akiondoka Magufuli watafanya nini
Mungu kamchukua Magufuli,wamecheza mziki,furaha imeisha,hofu imerudi pale pale,wanajikuta wanakua ma consultant wa kuielekeza ccm na Rais wao nini Cha kufanya
 
Afu aje tufia madarakani hapa kama mwendazake atupe shurubaza kuomboleza mwezi mzima hakun disco..
Hapana!
 
NAWAHAKIKISHIA HUYU MZEE NDUGAI NI MTU MUADILIFU A MAN OF HIS WORDS,MZALENDO,SIO FISADI, MTENDA HAKI ANAYEFATA SHERIA .
MUNGU MBARIKI SANA HUU MZEEE ANAFAA KABISA KUPATA U MAKAMU WA RAIS HUYU NEXT SHUJAA WA AFRICA.KIPENZI CHA WANYONGE

Ndu-gayi huyu huyu anayedharau KATIBA na kuisigina hadharani mchana kweupe??🙄
 
Hii ndiyo ID ya Job??

Ila ka siyo ID yake tukubaliane akutukanaye hakuchagulii tusi 😂
Hebu tujaribu kuwa serious kidogo!

Everyday is Saturday................................😎
 
NAWAHAKIKISHIA HUYU MZEE NDUGAI NI MTU MUADILIFU A MAN OF HIS WORDS,MZALENDO,SIO FISADI, MTENDA HAKI ANAYEFATA SHERIA .
MUNGU MBARIKI SANA HUU MZEEE ANAFAA KABISA KUPATA U MAKAMU WA RAIS HUYU NEXT SHUJAA WA AFRICA.KIPENZI CHA WANYONGE

WTF are talking about?
Ndugai of wichi vasheni?
Yule alipanic kwa kampeni akapiga mwenzio mpaka akataka kata moto?
Yule alishiriki kuzima bunge laivu?
Yule alishiriki kumvua ubunge Lisu huku akijua Lisu ni mgonjwa baada ya kupigwa risasi nyingi na watu wasiojulikana?

Nimelewa sana leo lakini hili la Ndugai usitake kuniharibia pombe zangu
 
Dah nimegundua JF ina vilaza wengi sana hawasomi wala kusokiliza wanakimbilia Ku comment.

Mtoa mada amewasilisha hoja yake Kwa kumudhihaki ndugai,kwamba ana indumila kuwili ambapo kwenye video ya kwanza ndugai anakubali kwamba Bunge analoliongoza lipo pamoja na Lissu.Video ya pili ndugai Huyo Huyo anamfukuza Lissu Kwa utoro kwamba hatambui alipo.

Sasa cha ajabu watu wanamuona mtoa Uzi ni chenga,kumbe wasomaji ndio chenga.
 
Hii ndiyo ID ya Job??

Ila ka siyo ID yake tukubaliane akutukanaye hakuchagulii tusi [emoji23]
Hebu tujaribu kuwa serious kidogo!

Everyday is Saturday................................😎
Nimelewa alaf mleta mada anataka kuniharibia pombe zangu
Nimemaindi sana
 
Back
Top Bottom