njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
haaaaaaaaaaaaaaaaa raia mnanizomea kwa maoni yangu binafsi,nimeweka video zake mbili kuhusu tundu lissu uwezo wake wa kuchanganua mambo ulinivutia sana kwenye sakata la lissu ,ndugai ndiye Rais ajaye wa Tanzania....2025-hadi atakapoamua kuacha mwenyewe ATAKE ASITAKE ATATATAWALA NCHI HII KWA MIAKA 30Achana na uwezo wa ndugai
Kwako wewe bora kuwa VP kuliko kuwa speaker.
Kwani kwa sahizi ambapo hatuna VP Then Raisi akashindwa Kutekeleza majukumu yake nani anatakiwa kuwa Raisi.