Baada ya kuanza kukaa mbali na ngono (Celibacy) nimeanza kuhisi mabadiliko

verify

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2024
Posts
1,313
Reaction score
3,164
Habari wanaJF

kuna kitu nmejaribu kuexperience, nna 5 years now nimechoose kua CELIBATE lakini nimeanza kuona vitu in different pictures na nmekuja kugundua lust ndo inafanya wanawake waonekane more attractive than we think lakin sio kweli.

And since day nimechoose kua CELIBATE hakuna siku nme experience PROCRASTINATION na nimekua na CONSISTENCY ya hali ya juu sana actually im not the same person I used to be.

Nanimekuja kujua kua GRATIFICATION ndo znatufanya watu tuone ulimwengu wa sasa huwez kuishi bila ngono lakin sio kweli

NGUVU YAKO YA KIUME IPO KWENYE SEMEN RETENTION
 
Ngono ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,kuikataa ngono wewe utakuwa unashida mahala.
Ngono sio sehemu ya MAISHA

Na maisha hayatambui ngono Ila ngono unaitambua wewe

Ulibidi kusema ngono ni sehemu yangu ya maisha Kama MTU mmoja na sio kufanya generalization

Kuna watu hawafanyi ngono na wanafurahia maisha na sio kwamba wana matatatizo NO.
 
kutokufanya ngono huashiria hujakamilika! Lakini kama umekamilika hisia lazima zitakufanya ufanye tu,ngono ni sehemu ya maisha, fikria mtu hafanyi ngono,anaangalia porn anajichukulia sheria mkononi na inampelekea kuathirika kisaikolojia, ni ukweli usiopingika kuwa usipofanya ngono kabisa ni hasara kuliko faida,na ukifanya kupita kiasi vilevile. So inakulazimu na si ombi ufanye kwa kiasi.
 
spiritual awakening
 
Back
Top Bottom