Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
hasara ni nyingi kuliko faida mkuu!kuna faida nyingi za kutokufanya ngono kwa kipindi fulani...semen retention
hasara ni nyingi kuliko faida mkuu!kuna faida nyingi za kutokufanya ngono kwa kipindi fulani...semen retention
Hapana mkuuLakini usiwe unacheki kanda ya X, kwa maana utavuruga hisia zako.lakini kama mkuu hayupo kwenye hicho kikosi,ninakupongeza na hilo ulichokichagua.
Upo sahihi pia kwa mawazo yako mkuu na sipingi hilo Ndo mana kila mtu ana free will yakufanya maamuzi sahihiNgono ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,kuikataa ngono wewe utakuwa unashida mahala.
hapana nakataahasara ni nyingi kuliko faida mkuu!
kutokufanya ngono huashiria hujakamilika! Lakini kama umekamilika hisia lazima zitakufanya ufanye tu,ngono ni sehemu ya maisha, fikria mtu hafanyi ngono,anaangalia porn anajichukulia sheria mkononi na inampelekea kuathirika kisaikolojia, ni ukweli usiopingika kuwa usipofanya ngono kabisa ni hasara kuliko faida,na ukifanya kupita kiasi vilevile. So inakulazimu na si ombi ufanye kwa kiasi.
Tubishane kwa hoja! KaribuHapana mkuu
Upo sahihi pia kwa mawazo yako mkuu na sipingi hilo Ndo mana kila mtu ana free will yakufanya maamuzi sahihi
Mkuu, Huwezi kunielewa kamwe,ila kwa upande wangu, nina ushahidi wa kutosha juu ya suala hili.Kitu chochote Ambacho either ukipate au usikipate akiathiri MAISHA yako hakiwezi kuwa sehemu yako ya maisha.
Issue ya kujichukulia sheria mkononi inatafsirika Kama MTU anayezielewa zaidi hisia zake.
Madhara ya kisaikolojia na yanayosumbua watu ni kuamini kuwa nikikosa ngono naweza kupata shida
Sio kweli .
Nimekuelewa mkuu 👊🏼Mkuu, Huwezi kunielewa kamwe,ila kwa upande wangu, nina ushahidi wa kutosha juu ya suala hili.
🔨🔨📍📌🔨lust ndo inafanya wanawake waonekane more attractive than we think
Hili haliepukiki mkuu japokuwa hawezi kukiri hadharani....Target ni miaka mingapi?
Vipi kuhusu kujichukulia sheria mkononi?
Mkuu sijajua kwanini unatumia maneno magumu au ndo psychological impact ya zoezi ulilofanikiwa. Anyway ulitumia mbinu gani? Maana hata Mimi natamani kupunguza kwa Muda mrefu.Habari wanaJF
kuna kitu nmejaribu kuexperience, nna 5 years now nimechoose kua CELIBATE lakini nimeanza kuona vitu in different pictures na nmekuja kugundua lust ndo inafanya wanawake waonekane more attractive than we think lakin sio kweli.
And since day nimechoose kua CELIBATE hakuna siku nme experience PROCRASTINATION na nimekua na CONSISTENCY ya hali ya juu sana actually im not the same person I used to be.
Nanimekuja kujua kua GRATIFICATION ndo znatufanya watu tuone ulimwengu wa sasa huwez kuishi bila ngono lakin sio kweli
NGUVU YAKO YA KIUME IPO KWENYE SEMEN RETENTION
Kujizuia ngono, ni sehemu mojawapo ya watu kujifunza namna ya kucontrol miili, na kuweza kutimiza malengo yao na kutokua mtumwa wa mwili.kutokufanya ngono huashiria hujakamilika! Lakini kama umekamilika hisia lazima zitakufanya ufanye tu,ngono ni sehemu ya maisha, fikria mtu hafanyi ngono,anaangalia porn anajichukulia sheria mkononi na inampelekea kuathirika kisaikolojia, ni ukweli usiopingika kuwa usipofanya ngono kabisa ni hasara kuliko faida,na ukifanya kupita kiasi vilevile. So inakulazimu na si ombi ufanye kwa kiasi.