Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
unaweza kujizuia kula mkuu? Why?Kujizuia ngono, ni sehemu mojawapo ya watu kujifunza namna ya kucontrol miili, na kuweza kutimiza malengo yao na kutokua mtumwa wa mwili.
Ngono, chakula, commitment ya mazoezi, meditations etc....
Watu wanafanya hivyo vitu kwa mafanikio makubwa, na usiwe mbishi au kuwa na hisia..hata wewe ukiamua unaweza - UWE NA PURPOSE tu, usifanye kwa fanny