Baada ya kuanza kukaa mbali na ngono (Celibacy) nimeanza kuhisi mabadiliko

Baada ya kuanza kukaa mbali na ngono (Celibacy) nimeanza kuhisi mabadiliko

Hii ni aina nyingine ya mental illness,acha maneno mengi wewe ni hanithi.
Sio kweli mkuu sometimes inaweza tu kuwa commitment au kiapo. Anachokiongelea jamaa ni maisha ambayo mimi nimeishi kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Mimi lengo langu lilikua ni kukaa mbali na kila kitu kuhusu mahusiano ili focus na resources nzielekeze kwenye ku-fix maisha yangu kwanza. Alichokiingea ni kweli mwanaume ukiondoa kabisa ngono kwenye equation ya maisha yako unakua tofauti. Sijui inakua ni spiritual au vipi, lakini kikubwa concentration kwenye kila unachokifanya inaongezeka.

Sasa hivi nishaoa. Nina mke na mtoto lakini ule mwaka mmoja wa celibacy ulinifungulia mambo mengi sana kiakili na kiroho.
 
Ngono sio sehemu ya MAISHA

Na maisha hayatambui ngono Ila ngono unaitambua wewe

Ulibidi kusema ngono ni sehemu yangu ya maisha Kama MTU mmoja na sio kufanya generalization

Kuna watu hawafanyi ngono na wanafurahia maisha na sio kwamba wana matatatizo NO.
Mkuu Acha kuchekesha, eti kuna watu hawafanyi ngono😅
Hiyo ni sawa Sawa na kusema kuna watu hawali chakula na wanaishi
 
Back
Top Bottom