Hii itakua pisi inatuchora tuNdo ujiite Nguva!! 😄
lakini mie kivyangu naona huyu mwamba yupo sahihiNgono ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,kuikataa ngono wewe utakuwa unashida mahala.
kila kitu kifanye kwa kiasi,kitendo cha kutokufanya au kufanya kupiliza ndipo huwa chanzo cha matatizo. Niamini mimi!lakini mie kivyangu naona huyu mwamba yupo sahihi
Na itatafunwa. Wamba hawakopeshi. Na kama ni mpunga watu wanatwanga pia.Hii itakua pisi inatuchora tu
sio kweli,Ngono ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,kuikataa ngono wewe utakuwa unashida mahala.
Ngono sio sehemu ya MAISHANgono ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,kuikataa ngono wewe utakuwa unashida mahala.
Upi ni ukweli wako mkuu?sio kweli,
kuna faida nyingi za kutokufanya ngono kwa kipindi fulani...semen retentionUpi ni ukweli wako mkuu?
kutokufanya ngono huashiria hujakamilika! Lakini kama umekamilika hisia lazima zitakufanya ufanye tu,ngono ni sehemu ya maisha, fikria mtu hafanyi ngono,anaangalia porn anajichukulia sheria mkononi na inampelekea kuathirika kisaikolojia, ni ukweli usiopingika kuwa usipofanya ngono kabisa ni hasara kuliko faida,na ukifanya kupita kiasi vilevile. So inakulazimu na si ombi ufanye kwa kiasi.Ngono sio sehemu ya MAISHA
Na maisha hayatambui ngono Ila ngono unaitambua wewe
Ulibidi kusema ngono ni sehemu yangu ya maisha Kama MTU mmoja na sio kufanya generalization
Kuna watu hawafanyi ngono na wanafurahia maisha na sio kwamba wana matatatizo NO.
spiritual awakeningkutokufanya ngono huashiria hujakamilika! Lakini kama umekamilika hisia lazima zitakufanya ufanye tu,ngono ni sehemu ya maisha, fikria mtu hafanyi ngono,anaangalia porn anajichukulia sheria mkononi na inampelekea kuathirika kisaikolojia, ni ukweli usiopingika kuwa usipofanya ngono kabisa ni hasara kuliko faida,na ukifanya kupita kiasi vilevile. So inakulazimu na si ombi ufanye kwa kiasi.