Baada ya kuanza kukaa mbali na ngono (Celibacy) nimeanza kuhisi mabadiliko

Lakini usiwe unacheki kanda ya X, kwa maana utavuruga hisia zako.lakini kama mkuu hayupo kwenye hicho kikosi,ninakupongeza na hilo ulichokichagua.
Hapana mkuu
Ngono ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,kuikataa ngono wewe utakuwa unashida mahala.
Upo sahihi pia kwa mawazo yako mkuu na sipingi hilo Ndo mana kila mtu ana free will yakufanya maamuzi sahihi
 

Kitu chochote Ambacho either ukipate au usikipate akiathiri MAISHA yako hakiwezi kuwa sehemu yako ya maisha.


Issue ya kujichukulia sheria mkononi inatafsirika Kama MTU anayezielewa zaidi hisia zake.

Madhara ya kisaikolojia na yanayosumbua watu ni kuamini kuwa nikikosa ngono naweza kupata shida

Sio kweli .
 
Mkuu, Huwezi kunielewa kamwe,ila kwa upande wangu, nina ushahidi wa kutosha juu ya suala hili.
 
Kuna mtu kaniulza kuhusu kijichukulia sheria mkononi na kutazama video CHAFU

Mimi sijichui wala sitazami video chafu, kwa sababu kwa mtazamo wangu, pornography ni kama demonic ritual. Mtu yeyote anayetazama video chafu mara nyingi huishia kujichua, na anapofanya hivyo kupitia video hizo, ni kama anafungua portal ya roho chafu kuingia maishani mwake. Hali hiyo hujirudia mara kwa mara hadi inakuwa utumwa wa kiakili na kiroho.

Pia, ukitaka kuelewa kwamba hata kujichua ni sehemu ya demonic rituals angalia jinsi unavyojisikia baada ya tendo hilo. Unapomaliza, hujawa na amani — badala yake unajawa na majuto. Unapotoka nje au kuanza shughuli zako, unahisi kama kila mtu anajua ulicho kifanya sirini, unahisi aibu ya ndani inayokula heshima yako polepole.

Kwa sababu ya madhara haya ya kiakili, kiroho, na kihisia, nimeamua kukaa mbali kabisa na tabia hizo, na najitahidi kujilinda dhidi ya maangamizi ya aina hiyo.
 
Mkuu sijajua kwanini unatumia maneno magumu au ndo psychological impact ya zoezi ulilofanikiwa. Anyway ulitumia mbinu gani? Maana hata Mimi natamani kupunguza kwa Muda mrefu.
 
Kujizuia ngono, ni sehemu mojawapo ya watu kujifunza namna ya kucontrol miili, na kuweza kutimiza malengo yao na kutokua mtumwa wa mwili.
Ngono, chakula, commitment ya mazoezi, meditations etc....
Watu wanafanya hivyo vitu kwa mafanikio makubwa, na usiwe mbishi au kuwa na hisia..hata wewe ukiamua unaweza - UWE NA PURPOSE tu, usifanye kwa fanny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…